Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

Nyie mnaosema binadamu ana matundu saba tu jasho huwa mnatolea kupitia tundu lipi kati ya hayo saba?
Hivyo hatuwezi weka kwenye level ya matundu chief
 
Kuna mbingu Saba
Bahari Saba
Ardhi Saba
Binadamu ana matundu Saba
Kuna siku Saba Katika wiki
Waislamu wanazunguka mara Saba kule Kaaba
Kiama kitatokea siku ya Saba ambayo ni Ijumaa
Waislamu wakiswali wanasujudu kwa viungo Saba,,kwa maana paji la uso na pua moja, vitanga viwili vya mikono, magoti mawili na ncha mbili za vidole vya miguu jumla viungo Saba
Waislamu wanasoma dua maalumu ndani ya swala ina ayah saba

Malizia mwenyewe na mambo mengine unayoyajua

Namba Saba ni UKAMILISHO WA KITU.

Ni hayo tu!
Wrong Tena,
Mwanamke ana matundu nane? Pale chini ukimkagua mwanamke vizuri utaona Kuna matundu matatu.
Mchunguze waif utanishukuru.
 
Saba Cha mtoto.
Mambo iko arobaini.
Za mwizi arobaini,
Mwanamke akijifungua siku ya arobaini ndio mashine inarudi katika Hali ya kawaida na unaweza kupakua mzigo.
Tunafunga siku arobaini.
Tangu jumatano ya majivu mpaka pasaka Ni siku arobaini.
 
Saba Cha mtoto.
Mambo iko arobaini.
Za mwizi arobaini,
Mwanamke akijifungua siku ya arobaini ndio mashine inarudi katika Hali ya kawaida na unaweza kupakua mzigo.
Tunafunga siku arobaini.
Tangu jumatano ya majivu mpaka pasaka Ni siku arobaini.
Roho Mtakatifu alishuka siku ya.....
 
Saba inatajwa kama ni namba ya utimilifu katika imani za kiroho.

Hata sadaka ukitoa 700,7000,70,00 n.k ina ngu zaidi.

Sameheni 7*70
 
Ni mawazo yako tu,hizo mbingu 7 wewe uliziona wapi.Namba ni ubunifu na majina ya siku ni ubunifu wa Mwanadamu hauna maana yoyote.so acha nadharia zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom