Hivi umewahi kuhisi kuna upendeleo wa baadhi ya watoto kwenye familia yenu?

Ndiyo ni kitu kizuri ila haipaswi tu kuonyesha interest zako wazi wazi unawaumiza hawa wengine wanakuwa wana feel ignored..!!
 
Ipo sana hii, au kwa namna ingine, Katika mmojawapo wa watoto, hata afanye nini anaonekana kizibo tuu.. hakubaliki.
Hili swala inabidi lipigiwe kelele sana siku hizi.
Haha..
Hapo pa kizibo tu, pamenichekesha kwa huzuni.!
tunatengeneza baadhi ya watoto ambao wako very heartless bila kujua..!!
 
Ahsante C'ssy kwa mfano mzuri kabisa, na I just can't imagine huo upendo aliokuja kupata mtoto wa aunt..! Maana kama auntie yako alipendwa sana, otomatik anakuwa na ujazo flani hivi wa upendo wa kutosha yaani na wote anammwagia the only child, uwwiiiih'.!
 
Haha..
Nimecheka sana, btw, Hongera sana Bro kumbe that's the reason uko na tender heart kiasi hicho, ulipewa upendo wa kutosha hadi raha.! Mshukuru sana Mungu kwa hilo, ila Last Born mpunguze kudeka siye First Born tunapata ka-jealous bhaaana..!!
 
Honestly mimi ndio my mom favorites hata wadogo zangu wanajua hilo sio kwamba wao hawapati upendo. But me and my mom we have been through a lot, by the time wanazaliwa mambo yapo kwenye reli. Funny thing imefikia hatua wakitaka kitu kwa bi mkubwa wakihisi anaweza kukataa, wanakuja kwangu kwanza wakiamini hua mama hachomoi nikimwambia.
 
thank you so much BAK, umenifunza kitu kikubwa sana, kumbe kuna namna huu upendo uliozidi sisi tunau-perceive tofauti kabisa, kuanzia ukhalisia kwa upande wa wazazi ulivyo na namna wanavyotuchukulia wao.!
 
Ooooh' sweetheart,
Life ain't that hard, Mungu akusaidie upunguze makasiriko.!!
 
Haha..!
Nimejifunza jambo, kumbe machozi yako yakiwa yanaonekana sana inafika pahala hayashtui tena..? Jeez'..! Mungu akubariki uzidi kuwa Mama bora.!
 
ni baraka sana kama amekuja kutulia ukubwani, hivi ninyi hiyo hali haikuwasumbua kabisa.?
 
that was blessing in disguise, Hongera sana kwa kuirudisha heshima Future..!!
 
Hongera sana Kisiran, ila jitahidi usioneshe huo upendo uliozidi waziwazi mpaka wengine wajiskie vibaya itawatesa sana katika ukuaji wao..
 
hio ipo sana watoto wa dada zangu wanapendwa kuliko wa kwangu hlf mie naonekana nahamisha mali walizo takiwa wale wao, kwa hioo wakipigiana simu ni kutusema tuuu ila wamama bwana na watoto wao wa kike ?.

ila hawajui kama wana upendeleo.
Pole sana Simon, Mungu akusaidieni kila kitu kitakuwa sawa naamini, na usisahau muda ni hakimu mzuri sana..!!
 
Whoooops'...!
Hat off Sweet C'ssy, you said it all, yaani umeichambua hasa, sijui nikuachie tu hii thread maana umejua kuitendea haki hatari..!
Naamini na Najua you're the Best Mom ever, I am so so proud ov you.!
 
Ule upendo huwa haufichiki BAK ujue, mzazi anajikaza weeh' ila anateleza tu na ghafla dunia inajua fav child ni yupi,
 
Udhaifu mkubwa sana kwa mzazi kuonyesha upendo wa wazi kwa mtoto mmoja na kuwa ignore wengine. My two kids nitahakikisha hakuna atakayejua ni yupi anapendwa zaidi ya mwenzake. I'll balance my love kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…