Hivi umewahi kuhisi kuna upendeleo wa baadhi ya watoto kwenye familia yenu?

Hivi umewahi kuhisi kuna upendeleo wa baadhi ya watoto kwenye familia yenu?

Kwenye familia nyingi; baba anawapenda zaidi watoto wa kike, na mama anawapenda zaidi watoto wa kiume. Naturally watoto wa kike, tunajikuta tunakuwa karibu zaidi na baba zetu unless awe baba mwenye matatizo, awapush mbali mabinti zake. Na wamama nao na vijana wao; ukaribu unaendelea hadi vijana wanaoa, na huko ndiyo tunakutana na "nguvu ya mama mkwe". [emoji38][emoji38]

Ni kama tu nilivyosema, kuna watoto wanapendeka na wanakuvuta kwao zaidi kuliko wenzao. Imagine baby boy hadi anakuita mamii; obviously ana-base kwa mamii wake, na wewe utabase kwa dada yake tu automatically

Nilijua tu utakuja kuutetea mkono...
 
Sina mtoto wala nini ila Kuna watoto wa ndugu zangu ila nampenda mtoto mmoja sana kuliko wengine and I Feel we share some kind of bond, na yeye hunipenda hivo hivo, so same na wazazi wanapenda watoto wote ila Kuna wanaowapenda zaidi kuliko wengine I think svio dhambi hutokea tu hyo Hali hata kwenye bible ukisoma jinsi Esau na mdogo wake kila mtu alipendwa mwingine na baba mwingine na mama.
I think kwangu sio dhambi hutokea tu damu kuendana Ile deep waswahili husema
Je unahitaji mtoto?
 
Hili la kupendelewa mostly inategemea sana na aina ya familia na unatoa nini
 
Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa,

Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu wengi, kuna ile namna unahisi kabisa kwamba kwenye familia yetu yenye watoto kadhaa, kuna kipenzi cha Baba na pia kuna kipenzi cha Mama, na kuna wale wanabaki wanajua kabisa Mimi siye miongoni mwao..!

Nilikuwa nazungumza na mtu wangu wa karibu siku moja, akanitamkia like 'I was not their best'...! yaani hapo si kwa Baba wala Mama, nilijiskia vibaya mno mno, na hakika ukitazama watoto waliokosa upendo wa hivyo kwa kushuhudia kabisa kuwa wenzie wanakirimiwa kuwaliko kuna namna hawako sawa kabisa kabisa tofauti na yule mtoto aliyepokea upendo wa kumtosha na kumjaziliza..!

Bado sijakuwa mzazi I don't even know how it feels, hivyo natamani nijue, unapenda watoto wote ni kweli lakini kuna yule ambaye anagusa kabisa mtima wako moja kwa moja (nimeongea na wazazi wengi na wamekiri hili), hivi hakuna namna unaweza ficha hili wenzie wasijue na wakajiskia vibaya.?

Ama umewahi pitia ile hali katika ukuaji wako ya kujua wewe ndiye unapendelewa zaidi ama ni kinyume na hapo kuliko wenzio, na ulijiskiaje.??

Natamani wajuzi wa malezi na wazazi waliweke hili sawa ili tujifunze, maana kuna kizazi chenye watu wenye tabia za ajabu sana kinazidi kutengenezwa hivi sasa na hakuna anayewaza kuhusu hili kabisa..! Kuna watu unaweza walaumu kwa tabia wanazokuonyesha ukaishia kuwalaumu na kuwachukia kumbe ni MALEZI yao tu maskiini ndiyo yamewafikisha walipo..!!

Anyways Karibuni..!
Dada yangu ndiye First born na mtoto aliyependwa zaidi na marehemu Baba pia ni mtoto anayependwa zaidi hata sasa pengine sekunde hii na Mama lakini hii haijawahi kutusumbua na wala hatujawahi kukwazika kabisaaa mimi na kaka yangu mkubwa kwasababu tunajua yeye ndiye mtoto pekee wa kike katika familia licha ya kuwa wa kwanza.
 
Mkono for mamii; wewe si huwa unaukumbuka tu ukiwa na nanhiiii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kwamba natamani niuambie maswahibu ya wanaume!!!

Ila hii ipo sana tu, unakuta mzazi anavutiwa na mtoto flani, inaweza kuwa kwa tabia nzuri, akili darasani, upole n.k

Tatizo hapa tunachanganya upendeleo au treatment na upendo. Wanao inabidi uwafanyie vitu sawa hata kama kuna namna umejikuta kuna mmoja mambo yake yanakuvutia zaidi.
 
Karucee nakuelewa ndio maana nikadiriki kuandika nilichokiandika kwa vile najua your level of maturity...relax!

Hakuna mzazi anapenda apende mtoto mmoja zaidi ya anavyowapenda wengine.
Na mie naambiwa nampenda zaidi binti kuliko kajamaa kanakomfuatia, tena hii anasema Mama yake.

Nikajaribu kutafakari sikuona kama nna hizo chembechembe za ubaguzi au upungufu wa upendo kwa hao watoto kati ya mmoja na mwenzake. Ila kajamaa kenyewe ndio ukikagusa kila kitu ni Maam, Mamii hata mie kuna wakati kanajisahau kananiita Mamii, ndio jina liko mdomoni mwake la karibu kabisa.
Its very true na haka katundu ndo kadekaji hasa sasa unabaki kushangaa.

Huyu sasa chautundu ndo nilitakiwa niambiwe nampendelea.

🤣🤣
 
Eeeh yaani unatamani uusimulie mkono, ukuelewe afu ukupe ushauri mweeh.

Yes treat your kids equally


Kwamba natamani niuambie maswahibu ya wanaume!!!

Ila hii ipo sana tu, unakuta mzazi anavutiwa na mtoto flani, inaweza kuwa kwa tabia nzuri, akili darasani, upole n.k

Tatizo hapa tunachanganya upendeleo au treatment na upendo. Wanao inabidi uwafanyie vitu sawa hata kama kuna namna umejikuta kuna mmoja mambo yake yanakuvutia zaidi.
 
Binafsi sijawahi experience upendo wala upendeleo wa aina yeyote ,Tena ukizingatia watoto wa mwisho kwenye familia karibia kila kitu tunajipambania kwenye maisha iwe ni katika shida na raha na katika kila jambo linalo husu maisha yangu huwa najiona pekee yangu ,mtoto wa mwisho hata chakula unasahaurika .
 
Aisee pole sana. Familia nyingi last borns ndiyo wanapata mteremko; eti mama asahau kumpa chakula last born weeeh. Tena wakati mwingine, kuna vyakula mnaambiwa hivi muachieni mtoto.
Binafsi sijawahi experience upendo wala upendeleo wa aina yeyote ,Tena ukizingatia watoto wa mwisho kwenye familia karibia kila kitu tunajipambania kwenye maisha iwe ni katika shida na raha na katika kila jambo linalo husu maisha yangu huwa najiona pekee yangu ,mtoto wa mwisho hata chakula unasahaurika .
 
Ubaya wa hii inatokea automatic Wala hupangi kuwa nitampenda huyu.Unajikuta tu mtoto flani anaugusa moyo zaidi kwa chochote.
Mimi binafsi ukoo mzima walikuwa wakinisema bibi ananipenda Mimi mno kuzidi wajukuu wote na kiukweli ilikuwa hivyo nikiugua bibi halali ikibd mpaka anisikie kwa simu.Lakini wakiugua wengine pole za kawaida.
Bibi alinipenda mno na nimeenda kumzika mwezi wa Saba huko home.Hapo napo alihitaji nifike kipindi yupo hoi na ndio alikata roho siku mbili mbele baada ya Mimi kuwasili.
Kwa hyo wazazi hiyo Hali ipo na ni ngumu ku control
 
Siyo kwa Essau na Yakobo tu ambapo Essau alipendwa na baba, Yakobo akapendwa na mama.

Hata kwa Kaini na Habili... (Habili alipendwa zaidi na Mungu).

Umenivutia sana kwamba at least you know the Bible halafu umesema huna mtoto, vipi kuolewa au kuwa na mchumba?[emoji3]
So kupenda kitu au mtoto sana ni jambo tu hutokea hasa mtoto anayegusa interest za mzazi maana yakobo alipendwa na mamake vile alikuwa mpole na mtaratibu asiye na fujo, ndio maana mamake alimwibia Siri ya kupatiwa baraka, Esau alipendwa na babake vile alikuwa mwindaji hodari, so upendo huwa na kasababu hasa ukigusa interest ambayo ni core value ya mzazi au watu.
Hyo ya kuolewa ni Siri yangu
 
So kupenda kitu au mtoto sana ni jambo tu hutokea hasa mtoto anayegusa interest za mzazi maana yakobo alipendwa na mamake vile alikuwa mpole na mtaratibu asiye na fujo, ndio maana mamake alimwibia Siri ya kupatiwa baraka, Esau alipendwa na babake vile alikuwa mwindaji hodari, so upendo huwa na kasababu hasa ukigusa interest ambayo ni core value ya mzazi au watu.
Hyo ya kuolewa ni Siri yangu
You have said it all. Ila Yakobo naye alizidi, full time alikuwa anashinda hemani na mama yake! Aisee unaonekana husomi Bible juujuu tu, you go into details. Wala sifichi, nakuja PM [emoji3]
 
Hii sasa sio kumpenda zaidi mtoto mmoja; huu ni ubaguzi per se. Huwezi kuwa unamjali mtoto mmoja zaidi, unamtimizia mahitaji yake yote; halafu wengine unawapotezea. Inatakiwa watoto wote wajihisi na wauone upendo; ila pia wanaona tu like eeh baba na mtoto fulani jamani. Ni kama vile mzazi upo mbali, unapiga simu, unaongea na watoto wote mmojammoja; ila yule kipenzi unajikuta unaongea naye kwa muda mrefu zaidi.
ni kweli lakini kama unavyojua, katika kila kitu negative kuna kitu positive cha kuchukua. Mimi ilinibidi nichukue every lesson na imenisaidia, siwezi kusema haikuniathiri ila imenijenga pia kwa kiasi flani japokuwa watoto wengi wa namna hiyo huishia pabaya kwa kutafuta belongingness nje ya familia
 
Ha ha ha ha, Mimi Ni last born and wa kiume pekee yangu tumelelewa na bibi kwa angalau 90% hasa mimi.Bi mkubwa kuna kipindi alikuwa anatamka mbele yangu eti yaaan Fulani( anamtaja sister wa kike) angezaliwa mwanaume. Hapo mimi niko zangu shule nahangaika sina mbele Wala nyuma. Ilifika point akaniudhi ikabidi nimchane. Nikakwambia bi mkubwa kwenye watoto wako wote Mimi ndo mtoto wa kiume usije ukasahau hilo. Sasa sister zangu wote Mambo yao siyo poa kabisa. Mimi Sasa hivi atleast kwa sababu ndo pekee yangu nimefanimiwa kupata elimu ya juu. Bi mkubwa ananidhiria kila kitu, ni kama kauli zake na jinsi alivyokuwa ananibagua vinamtafuna, though mimi sina tatizo kabisa na the past!

tatizo huwa sio hata kusamehe ila ile bond na mzazi inakuwa hafifu au inapotea kabisaa
 
Back
Top Bottom