Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

Mimi nilimpiga kwasababu ya wivu wake wa kijinga jinga. Kuna siku alinikuta na demu rafiki yangu kanishika mkono, akaanza matusi. Nilimpa kibano hadi demu rafiki akanisii nimwache
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi mara moja tukiwa chuo kama mnavyojua room moja mnakaa wa4, sasa siku hiyo nililala na demu wangu double deka mi juu na jamaa yangu chini, sasa hatukua sawa na mpenzi wangu usiku ule akawa ananiomba msamaha nikakaza.
Basi alfajiri akamwita mwana wa chini ambae ni shem wake sasa kwamba naomba kuja kulala hapo jamaa akamwambia njoo. Basi akashuka akalala kwa jamaa mi nimetulia tu akaanza kuongea mi nasikia anamwambia nataka kuwa na wewe jamaa mimi ananizingua naona hanipendi hahahaa.
Mshkaji akamwambia yani umemkosea then unaongeza makosa mimi sitakutetea basi nikaamka nikatoka nje jamaa nae akaamka akasepa tukabaki wawili.
Hapo sina habari nae akaanza nisamehe nikamwambia jamaa kakukataa eti ooh nilitaka usikie uumie nikamwambia too late huwa siumii kizembe we sema kwako hataki, mi nikawa naondoka ananishika akapiga magoti akanishika miguu aisee nilipiga makofi ya kichwa haachii eti niue tu piga mikofi sana wapi. Toka hapo sijawahi tena na sitegemei.

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
We ndio bahalia [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu uyo manzi alikuwa Amekuzarau sana
 
Sasa we unamuacha mtu kisa anatongozwa? Kuna mwanamke asiyetongozwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mabinti wengine vichwa maji kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona ulikuwa fundi sana wa kupiga exile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…