Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimewahi kum'bonda boifrendi ..akaenda kunisemea kwa mama ake..dada zake wakaja kunichamba Hadi nikazimia.
Tupe na Experience alizingua nini?[emoji23]
Mimi niliiba simu yake nikazama kwenye Messages. Kufanya upembuzi nikakuta anachati na mwamba anamsifia eti ni mtamu! [emoji23][emoji23]
Nikamuuliza huyu nani? Akabaki kimya! Nilimrukia buti kama la Van damme [emoji2]. Nilimpiga mpaka akazima.
Eti akataka kunipeleka Polisi, baadaye familia ikaongea na familia yao wakayamaliza. Ikapita kama mwezi hivi tukaja kukutana nikamuomba msamaha akakubali tukarudiana [emoji2]
Binadamu tumeumbwa tofauti mkuu kamwe mawazo yetu hayawezi kufanana. Anayofanya mkeo si kila mwanamke atafanyaMbona huwa mnavurugwa sura lkn bado mnatung'ang'ania?
Kwa hiyo wewe ukizibuliwa makofi na mpenzi wako,utampa talaka???.Binadamu tumeumbwa tofauti mkuu kamwe mawazo yetu hayawezi kufanana. Anayofanya mkeo si kila mwanamke atafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mimi nina mdomo mchafu yaani nikimgombeza analia bila kupigwa...sasa mtu analia bila kupigwa,ukipiga si anakufa.Plus nina vitimbi ambavyo nikifanya yeye mwenyewe ataiacha nyumba na kuondoka bila kupigwaBas zamani nlikua na mawazo kama yako......ila sa iv nikikumbuka jinsi nlivyojenga kwa shida afu nimwachie mwanamke kisa utopolo wake bora nimnawe makofi tuu!
Hata sijuiKwa hiyo wewe ukizibuliwa makofi na mpenzi wako,utampa talaka???.
OK!!,Kumbe ulikuwa unabisha nini sasa??,Wanaume tulivyo watamu kwenu hata tukiwapiga mnalia halafu mnatusamehe.
π π π π πAlivyozima akaamka akataka kukupeleka polisi
Nasema sijui kwa sababu sijawahi kupigwa, nje na mzazi wangu hakuna mtu aliyewahi kunipiga, kunifokea wala kuninyooshea kidoleOK!!,Kumbe ulikuwa unabisha nini sasa??,Wanaume tulivyo watamu kwenu hata tukiwapiga mnalia halafu mnatusamehe.
vitimbi gani hivyo?Hahah mimi nina mdomo mchafu yaani nikimgombeza analia bila kupigwa...sasa mtu analia bila kupigwa,ukipiga si anakufa.Plus nina vitimbi ambavyo nikifanya yeye mwenyewe ataiacha nyumba na kuondoka bila kupigwa
We jamaa nilikorofi hatari,Hahah mimi nina mdomo mchafu yaani nikimgombeza analia bila kupigwa...sasa mtu analia bila kupigwa,ukipiga si anakufa.Plus nina vitimbi ambavyo nikifanya yeye mwenyewe ataiacha nyumba na kuondoka bila kupigwa
Wewe ndiyo wale ugomvi ukitokea mnaovunjavunja vyombo na tv zetu, tunaanza upya hasira zikiisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mate Sina ubabe wowote..ila ukinichokoza siwezi kukuacha salama..[emoji41]