Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Unauliza unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?
Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?
Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto
Labda kama unapasha tu !!!
Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!
Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!
Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Process ni ile ile tu, kama ambavyo unaoa yule ambae hajazaa.