Trueman m
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 362
- 400
Awe na upendo kwako! Wewe kwake ni substitute.Ila ma single mother wana upendo balaa
Hv vitoto vya 2000 miyeyusho tu vina zingua balaa coz vinaamini bado vinahitaji kuchezewa kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe na upendo kwako! Wewe kwake ni substitute.Ila ma single mother wana upendo balaa
Hv vitoto vya 2000 miyeyusho tu vina zingua balaa coz vinaamini bado vinahitaji kuchezewa kwanza
Kwamba mkspa hana niniFatilia watu wote wakubwa na waliofanikiwa ndoa zao
Except Mkapa tu na yeye ni vile hakuwa na mbegu
Ila the rest walioa fresh girl wabichi kabisa.
Ni utoto sana kuingia kwenye ndoa na demu kashafumuliwa malinda yote hana duh so sad!!!
Nimeisave hii comment mjombaMkuu siyo tu ataacha, bali ataoa mwenye watoto wanne. Waswahili walisema kua uyaone.
Nina mke tayari nilioa 2015 akiwa mbichi kabisa tuna watoto wawili
Nimekuja kushauri kwa sababu ndugu zangu na washikaji zangu baadhi wana changamoto hii na naona migogoro ya wake zao huu ni usumbufu
Tukifanya hivyo wote tatizo litaisha wadada wataogopa kuzalishwa ovyo kama kuku!!
na je pia umegundua nini baada ya kua single mazeriNiilchogundua wanaume wa jf wanapenda sana kupewa attention Yani wanajua wakiazisha mada za kupondawanawake watapata comment nyiingi
Kuna tatizo gani? Wanawake karibia wote wamezaa au kutoa mimba.Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?
Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?
Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto
Labda kama unapasha tu !!!
Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!
Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!
Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
[emoji16][emoji16]Kuoa hautaki Ila kuwalala mnawalala,kimamae.
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?
Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?
Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto
Labda kama unapasha tu !!!
Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!
Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!
Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Bora kuoa mwanamke ambaye hajazaa,na akuheshimu na na asikuzalie mtoto nje ya ndoaKwamba mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hafai sio? Hivi kati ya kuoa mwanamke aliyezaa na anayekuheshimu,na kuoa mwanamke ambaye hajazaa na akakuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa yako,kipi ni Bora?
😂😂😂😂Yanakuaga matamu balaa
Me walininasua kwa maombiii😄
Mwanaume hazai anazalishaVipi kuhusu kuolewa na mwanaume aliyezaa una maoni gani mkuu?
Kumekuchaaa 😂😂😂😂😂Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?
Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?
Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto
Labda kama unapasha tu !!!
Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!
Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!
Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Mkuu wanaroga sana awa Single mother. Kuna mdau alisema akijua mtoto wake ana mahusiano na Mwanamke mwenye mtoto atafanya juuchini avenue mahusiano yao bola wao kujua.Uhalisia ni kwamba hawa masingle maza wanaolewa sana kuliko hata vigoli maana akikukamata hutoki..lakini kuanza match 1:0 ni uwaki vijana msijichanganye