Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Tayari nini jirani?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi na sisi tusiozaa hatuwataki mliozaa, mbaki na wazazi wenzenu
Wewe Tayari katoto?. Jirani nauzee wangu wote huu Sina mtoto eti, nataka mpaka nioe aisee.

Kama huna mtoto jirani, karibu tuhamie Kigamboni tutoke Bonyokwa. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Fatilia watu wote wakubwa na waliofanikiwa ndoa zao

Except Mkapa tu na yeye ni vile hakuwa na mbegu

Ila the rest walioa fresh girl wabichi kabisa.

Ni utoto sana kuingia kwenye ndoa na demu kashafumuliwa malinda yote hana duh so sad!!!
Mkapa ana watoto wawili mkuu wa kuzaa
 
U
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?

Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?

Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto

Labda kama unapasha tu !!!

Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!

Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!

Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Umri wako tafadhali, unaweza jikuta una argue na mnuka maziwa
 
Maandishi ni kumbukumbu nzuri itajihifadhi, Muda ni hakimu nzuri Sana tupo tunasubiri unase Kwa single moza
 
Mradi ni maisha yenu Oeni anayewafaaa.....

Lakini kinachonishangaza why 75% ya wachangiaji wa huu uzi wamekuwa pressed.
Inafikirisha kidogo.
 
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?

Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?

Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto

Labda kama unapasha tu !!!

Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!

Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!

Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Haya ni mawazo ya waliozaliwa nje ya ndoa

Familia yenu yote haina mwanamke aliyezaa nje ya ndoa, wasiolewe?
 
Wewe Tayari katoto?. Jirani nauzee wangu wote huu Sina mtoto eti, nataka mpaka nioe aisee.

Kama huna mtoto jirani, karibu tuhamie Kigamboni tutoke Bonyokwa. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mwenzio jirani napapenda kweli bonyokwa huko Kigamboni kwa washuhani sipawezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hongera jirani mi nishazoea kula miguu ya kuku huko kwa wazito sipawezi nyanya moja buku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimepata kibarua chakuuza nyanya huko, Sasa gari za Bonyokwa kigamboni hamna, kwahio inabid nihamie huko. Kwani jirani vyumba vya elfu 30 Kigambon havipo?.πŸ˜…
 
Back
Top Bottom