Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Kuna waliozaa watoto unawaona and wengine wametoa mimba hii kitu shukuru umpate manae endana and not gubu majumbani ni vita kubwa sn ktk jamii and mitandao ndio inaharibu kabisa uwanawake/vijana wengi tutakua na kizazi cha single wengi sn km ughaibuni hali ni mbaya sn,Omba kaka upate wakuendana nae not how she/he is utajutaaaaa
 
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?

Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?

Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto

Labda kama unapasha tu !!!

Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!

Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!

Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Mke Mwema anatoka kwa bwana
 
Mm nilijifanya najua kupenda nikaishi na mwenye nzao mbili...mateso niliyopata Siri yangu...nilimwachia Kila kitu Ili kunusuru nafsi yangu.
 
Kama anakuheshimu, anakujali na kukupenda kweli, si vibaya..huwezi kuwa jumuisha single mothers wote kwa kauli moja, bali wapo wenye haiba zao nzuri tu na wanajiheshimu, isipokuwa walikutana na Wanaume wasio na malengo ya muda mrefu na wao..
Kama umemwoa utakuja uniambie ..Mungu atupe uzima
 
Halafu unakuta wewe mwenyewe umelelewa na baba sio wako, hata sura ya baba yako mzazi huijui maskini..!!
Nyie ndio mnaokuja kupewa watoto sio wenu kwa ulimbukeni wenu
Hatuwezi kuoa wanawake waliozaa, kupewa watoto sio wetu, ikitokea ndani yandoa nahuku hufahamu Haina madhara, lakini pale utakapogundua halafu ukaendelea kumchekea aliekupa mtoto sio wako unakua Mpumbavu pro Max.

Jirani kwani vipi wewe tayari?.
 
Tayari nini jirani?? 😂😂😂
Basi na sisi tusiozaa hatuwataki mliozaa, mbaki na wazazi wenzenu
 
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?

Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?

Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto

Labda kama unapasha tu !!!

Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!

Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!

Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Hata kwenye mpira tu mechi 1st leg hua haianzii na 1 - 0 labda 2nd leg ndo inaweza kuanza na 1 - 0 (aggregate)
 
Kweli wanawake wa siku hizi wanatamaa na changamoto zao, ila kuna kizazi fulani cha wanaume hakitaki kuwajibika,tena kwa makusudi. Tutawalaumu ila sometimes kuna baadhi ya situations unaona kabisa mwana alizingua.Ila ushauri kama demu huna mpango nae husipige kavu na wewe dada kama mahesabu yako ni kudanga kupitia huyo mwanaume hakikisha unatumia njia salama za uzazi wa mpango.

Mnawalaumu single mother, ila hiki kizazi cha watoto wanao lelewa na single parent ni kizazi hatari sana kwani hakina upendo ule wa baba na mama,so kesho hakiharibika kaa ukijua hata ww unastahili lawama. Tusijione wajanja tunapo wazalisha na kuwaacha mabinti bila sababu za msingi.

Tujitahidi kuwajibika kwa ufundi wetu tunao jisifiaga kitandani, hiki kizazi kinazidi kuongezeka kila siku, tusijipe umalaika ktk hili na kuwapa lawama wanawake.
 
Back
Top Bottom