Hivi unaanzaje kuwashtaki Qnet?

Kwenye fursa za kweli watu hawaambiani..
Ni mwendo wa kimya kimya tu mpaka mnampachika mtu Ufreemason, na ukimgasi sana atakwambia kwa Yesu ndio kila kitu, towa sadaka fanya ibada usichoke kutowa sadaka, ndio kashakutupa huyo.

Hupewi kodi ya mafanikio mpaka ustragle sana ndio automatically code zinafunguka na unaingizwa kwenye chain ya brotherhood.
 
Angenipa mm nimuuzie
 
Kuna wale madogo wa mbezi walikuwa wanahojiwa...mmoja akasema yeye amenunua centa kwa million tano, mi nikajua hiyo centa ni gari...
Kumbe chakula!![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo nimecheka mbavu cna hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani mtoto wa down town,kaluta pale kwa mama mkaanga samaki kitambo kile au kwa shehe riyami
 
Angalau hao wanakuachia virutubisho , Q-Net wanakuchapa kitu kinaitwa Total Loss
 
Madalali ndio wanatuumiza tena ni hao hao wanaojifanya wana huruma sana na sisi
 
ASANTE MKUU! πŸ˜…
 
Mbongo akikuitia fursa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.

Kwenye michongo ya pesa wabongo ni ngumu sana kukupa code.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…βœ¨βš‘πŸ’₯
 

Attachments

  • 1656152878519.png
    14.9 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…