Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Kwenye fursa za kweli watu hawaambiani..Mbongo akikuitia fursa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.
Kwenye michongo ya pesa wabongo ni ngumu sana kukupa code.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye fursa za kweli watu hawaambiani..Mbongo akikuitia fursa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.
Kwenye michongo ya pesa wabongo ni ngumu sana kukupa code.
Ni mwendo wa kimya kimya tu mpaka mnampachika mtu Ufreemason, na ukimgasi sana atakwambia kwa Yesu ndio kila kitu, towa sadaka fanya ibada usichoke kutowa sadaka, ndio kashakutupa huyo.Kwenye fursa za kweli watu hawaambiani..
Oriflame ni afadhali kwani kujiunga ilikuwa ni 9000elfu tu nami nilishawahi jiungaMimi mama mkwe wangu alinikaribisha Qnet anile kichwa, kumbe mi ni muhuni kitambo, nikaenda nikala goodmorning za kutosha Halaf nikapita hivi. Wapo wengi, Ori flame, gnld, free cell, forever, desilake
Angenipa mm nimuuzieSister angu nilimshauri Sana Hawa watu MATAPELI, alliance hao, akanambia yaan ww siku ukiniona nimefanikiwa ndo utaamin, akapeleka laki Tano za kuniunga nikaona karudi na fuko limejaa madawa[emoji23].
Kazi ikawa kwake kuzitembeza na kuziuza kwa watu Ili arudishe pesa yake na faida.
Hadi Leo ninapoandika hapa huu ni mwaka wa nne hakumpata mteja hata mmoja [emoji23],dawa zenyewe gharama. Kweli, amebaki navirutibisho tu anawapa wanae[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo nimecheka mbavu cna hapa.Kuna wale madogo wa mbezi walikuwa wanahojiwa...mmoja akasema yeye amenunua centa kwa million tano, mi nikajua hiyo centa ni gari...
Kumbe chakula!![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sister angu nilimshauri Sana Hawa watu MATAPELI, alliance hao, akanambia yaan ww siku ukiniona nimefanikiwa ndo utaamin, akapeleka laki Tano za kuniunga nikaona karudi na fuko limejaa madawa[emoji23].
Kazi ikawa kwake kuzitembeza na kuziuza kwa watu Ili arudishe pesa yake na faida.
Hadi Leo ninapoandika hapa huu ni mwaka wa nne hakumpata mteja hata mmoja [emoji23],dawa zenyewe gharama. Kweli, amebaki navirutibisho tu anawapa wanae[emoji23][emoji23]
Yani mtoto wa down town,kaluta pale kwa mama mkaanga samaki kitambo kile au kwa shehe riyami... kabisa kabisa, Kishimbe wa Kishimbe ni msukuma! ... shida ni kwamba mimi ni msukuma born town, yaani nimezaliwa mtaa wa Karuta, Mwanza city, Primary school Nyakabungo, Secondari Mwanza seko, High school Tambaza .... !
UTANIPATA WAPI?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mlongo wangu imagine unanunua package ya msosi kwa million tano 😭😭😭😭😭[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo nimecheka mbavu cna hapa.
Yaan hataree tupu, afu sasa ni wabishi hawaelewi yaan.Mlongo wangu imagine unanunua package ya msosi kwa million tano [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Angalau hao wanakuachia virutubisho , Q-Net wanakuchapa kitu kinaitwa Total LossSister angu nilimshauri Sana Hawa watu MATAPELI, alliance hao, akanambia yaan ww siku ukiniona nimefanikiwa ndo utaamin, akapeleka laki Tano za kuniunga nikaona karudi na fuko limejaa madawa😂.
Kazi ikawa kwake kuzitembeza na kuziuza kwa watu Ili arudishe pesa yake na faida.
Hadi Leo ninapoandika hapa huu ni mwaka wa nne hakumpata mteja hata mmoja 😂,dawa zenyewe gharama. Kweli, amebaki navirutibisho tu anawapa wanae😂😂
Wewe utakuwa USIYEJULIKANA, ... wanting to get up-close and personal with me! 🤡 USHINDWE ....!Yani mtoto wa down town,kaluta pale kwa mama mkaanga samaki kitambo kile au kwa shehe riyami
Wewe utakuwa umezaliwa Dar, Tabata, na elimu na maisha yako yote hapohapo! ... hata Feri hupajui! ... KALAGA BAHO NA UBOZI WAKO! 🤡Sasa Mwanza napo ni town? Wasukuma buana.😀😀
Madalali ndio wanatuumiza tena ni hao hao wanaojifanya wana huruma sana na sisiYalishapita hayo, siku hizi kuna biashara huria, tena siku hizi Serikali ndio mteja mkuu wa biashara ya kulanguliwa bei.
Hao Toyota wanawauzia serikali magari kwa bei mbaya ambapo serikali ingenunuwa wenyewe kiwandani Japan ingeokowa mabilioni ya pesa za walipa kodi.
Huwa nina 'Allergy' ya Kuwajibu 'damn Fools' kama Yeye.GENTAMYCINE kuja huku umshauri huyu popoma
Kwamba unanunua tambi shilingi million 8Madalali ndio wanatuumiza tena ni hao hao wanaojifanya wana huruma sana na sisi
ASANTE MKUU! 😅Wakati wa Mchonga na Sokoine (RIP) Mwaka 1984 serikali ilikuja na kamata kamata ya wafanyabiashara waliokuwa wanauza bidhaa zaidi ya bei kikomo.. Wakaitwa WALANGUZI na kitendo chenyewe kikaitwa ULANGUZI
Mashushushu wa serikali walitawanywa nchi nzima kuwakamata walanguzi.. Ni kosa kisheria kumuuzia mtu kitu juu ya bei kikomo. Qnet wanaweza kushtakiwa kwa hilo
😅😅😅😅😅😅😅😅😅✨⚡💥Mbongo akikuitia fursa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.
Kwenye michongo ya pesa wabongo ni ngumu sana kukupa code.