Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,438
- 826
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Ukiwa sehemu ya Qnet, unapaswa ufanye kazi sana ili upate na wenzako wapate. Hapo short cut inatoka wapi?Hao waliopigwa pesa ingefaa zaidi na wangeinamishwa iwe funzo kwa wengine hakuna maisha mazuri ya short cut.
Short cut=101% risk.
Kheri james mbona alishaenda tayari aliwakuta maeneo ya kibambaKwa mapigo ya hao jamaa ya kupiga suti hadi usiku nimegundua hapa mtaani Kwangu wapo hao jamaa .
Kuna nyumba hapa mtaani Kwangu imepangwa na hao jamaa zaidi ya 30 vijana wa kike na kiume nilikuwa najua ni hosteli ya wanafunzi wa chuo kumbe ndio hawa jamaa. Manake kuna sehemu Kwa mama ntilie mmoj wanaenda kula wanaagiza wali au ugali wa elfu tatu wanawekewa Kwenye sinia moja na mboga kwenye bakuli moja kubwa wanakula hata 7
Ila jamaa wanavitafuna hivyo vibinti
Ngoja nimshtue Kheri James awashukie manake ni wilayani kwake
Zina virutubisho muhimu Sana kwenye mwili wako, virutubisho hivyo vinakukinga dhidi ya maradhi 😂😂😂Halafu unaaminishwa ni sa kipekee sana
Sasa kama ni kazi yenye normal procedure kwanini ifungwe na kuonekana ya kitapeli?Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Ukiwa sehemu ya Qnet, unapaswa ufanye kazi sana ili upate na wenzako wapate. Hapo short cut inatoka wapi?
Hata mm najiulza.Mimi huwa najiuliza, hii Qnet ya bongo na huko nje ya nchi ni tofauti? Mbona matangazo ya Qnet yanaonekana mpaka kwenye ligi ya England!!!
Halafu hizo tiba lishe zipo tuu mtaani kwa bei za elfu 50 mpaka laki [emoji12][emoji12]Kuna wale madogo wa mbezi walikuwa wanahojiwa...mmoja akasema yeye amenunua centa kwa million tano, mi nikajua hiyo centa ni gari...
Kumbe chakula!![emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kuwapiga miti tuYaan hataree tupu, afu sasa ni wabishi hawaelewi yaan.
Ni walewale, ... wameishatengeneza mpunga wa kutosha kwa hiyo kulipia hivyo vi'advertisements' kwao sio issue kiviile!Mimi huwa najiuliza, hii Qnet ya bongo na huko nje ya nchi ni tofauti? Mbona matangazo ya Qnet yanaonekana mpaka kwenye ligi ya England!!!
Nilimaanisha pamoja na shule yake yote naona nilichapia.Nilipo bold unamaanisha nini
Angenipa mm nimuuzie u
Angenipa mm nimuuzieUnataka akuuzie bidhaa ?
Nimecheka?akikujibu utanistua🤣Ulifanikiwa kuwa tajiri?
Then baada ya kujiunga ukapata faida kiasi gani?Oriflame ni afadhali kwani kujiunga ilikuwa ni 9000elfu tu nami nilishawahi jiunga
Hii inakuaje? Ni msosi gani huo wa M5?Mlongo wangu imagine unanunua package ya msosi kwa million tano [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kuna package ya vacation..misosi inakuwamo humoHii inakuaje? Ni msosi gani huo wa M5?
Ndio nini?
Waliojoin mwanzon kipind kampuni inaingia bongo wamepiga pesa Sana... Hao wamekula commission ya wote waliojoin baada Yao na kipind hcho kampuni ilikuwa inagharamia kila kitu ili kujitanua, walikuwa na easy acceleration..Chanzo kikubwa kinachopelekea hizi network marketing (Business) kuendelea kushamiri, kuleta sintofahamu na kurudisha nyuma harakati za ukombozi wa kiuchumi kwa wanajamii ni uelewa/ufahamu juu ya mfumo na namna ya uendeshaji wake.
Twendeni na hii; kuna ule msemo usemao "Mjanja wa leo ni mjinga wa jana na Mjinga wa leo ni Mjanja wa kesho". Ukiachilia mbali uhalali wa kisheria pasi na shaka wa hizi biashara, hila;
Hii ndio changamoto kubwa inayopelekea kila kukicha kusikia uongezeko la watu kulalamika juu ya kuingizwa mkenge lakini kiuhalisia ilionekana ni fursa ya kumkwamua mara baada ya kupata hizo taarifa zisizo na ukamilifu, jumlisha matarajio makubwa bila kupewa A to Z juu ya changamoto na ugumu wa kuyafukia hayo matarajio.
- mfumo wake kiuendeshaji umejaa ufinyu wa uwazi juu ya ufanyaji biashara husika &
- ushawishi uliojengwa kwa matarajio makubwa ili mtu aweze kujiunga nao,
Nyongeza ni kuwa; hizi biashara ukifuatilia kwa jicho la kipembuzi hasa utagundua kuwa muundo wake na walengwa haswa ni wale watu kuanzia kipato Cha kati kwenda juu, sasa ugumu unakuja pale wakina sisi wa kipato Cha chini tunapoona fursa na kuchangamkia kujiunga huku network yetu ni wenzetu kama sisi ambao kumudu hizo gharama za manunuzi ya hizo bidhaa tunazobeshwa haupo! Hapo lazima kuvurugwa n kurudishwa nyuma maradufu kutokee, kifuatacho baada ya kushindwa kuuza basi ni lazima ushawishi wengine wajiunge hata kama ukijua wazi kuwa mambo ni magumu ili uambulie commission za ushawishi.
Nawasilisha machache niliyopata kung'amua kwa namna ya hizi biashara.