Hivi unafahamu pesa ya Tanzania inachapishwa Ujerumani?

Hivi unafahamu pesa ya Tanzania inachapishwa Ujerumani?

Kuna kipindi kiko discovery channel cha mwanamama uwa anafuatilia wahalifu mpaka kwenye source alienda huko latino america nchi nimesahau waharifu wa kule kazi kubwa ni kuprint dollar fake.
Jamaa wanaprint na kuziwekea details koasi kwamba kwa mtu ambaye hana uzoefu wa kutosha huwezi jua. Hadi ukiishika unafeel texture. Moja ya vitu wanavyotumia ni amziwa ya formular ya watoto
Ni peru , wale ndio mamaster wa hiyo biashara na michezo ya counterfeiting au kuchapisha noti fake ,FBI wenyewe wanawagwaya kuna noti za USd wanachapisha halafu wanaziingiza pale Marekani mpaka FBI wanabaki midomo wazi .
Inaaminika kwa level waliyofikia wanaweza kutengeneza noti yoyote ile dunia hii kinyemela
 
Back
Top Bottom