Kuna kipindi kiko discovery channel cha mwanamama uwa anafuatilia wahalifu mpaka kwenye source alienda huko latino america nchi nimesahau waharifu wa kule kazi kubwa ni kuprint dollar fake.
Jamaa wanaprint na kuziwekea details koasi kwamba kwa mtu ambaye hana uzoefu wa kutosha huwezi jua. Hadi ukiishika unafeel texture. Moja ya vitu wanavyotumia ni amziwa ya formular ya watoto