Kusaidia wazazi ni kitu kizuri.Yaan wamekulea kwa shida,wamekusomesha kwa shida ila kaz uliyopata na tayari una familia inayokutegemea then hiyo familia yako ikakufanya ukashindwa kutunza wazazi au kuwasaidia wazazi ....huenda kuna muda wanakusaidia wewe kwa kidogo walichonacho kwa sababu wanaona magumu yako.Unajisikiaje eti? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mbona umetoa na machozi kabisa? Kama mtu ana uwezo ni muhimu kuwasaidia. Tatizo tukishakaa mijini tunawasahau kabisa waliobaki vijijini. Ila wazazi pia inategemea waliwaleaj watoto wao sababu Kuna wazazi nao utakuta walikwepa majukumu.Yaan wamekulea kwa shida,wamekusomesha kwa shida ila kaz uliyopata na tayari una familia inayokutegemea then hiyo familia yako ikakufanya ukashindwa kutunza wazazi au kuwasaidia wazazi ....huenda kuna muda wanakusaidia wewe kwa kidogo walichonacho kwa sababu wanaona magumu yako.Unajisikiaje eti? πππππ
Huyo anakuwa na sababu ya kutowakumbuka, lakini wengi wamefika hapo walipo kwa msaada wa wazazi wao....ivo lazima wawakumbukeMbona umetoa na machozi kabisa? Kama mtu ana uwezo ni muhimu kuwasaidia. Tatizo tukishakaa mijini tunawasahau kabisa waliobaki vijijini. Ila wazazi pia inategemea waliwaleaj watoto wao sababu Kuna wazazi nao utakuta walikwepa majukumu. Mtu anabaki kusema tu yule ni baba yangu sababu ni mzazi wake lakini ukiangalia ni sababu mzazi hakuwekeza ipasavyo kwa watoto.
Tusifikie huko jamanKukulea kwa shida hayo ni matatizo yao, sidhani kama kuna uhusiano na wewe kuwasaidia.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Ndio pia inategemea na roho ya mtu sababu Kuna watu hawakupata matunzo makubwa kwa wazazi lakini bado wanawasaidia. Tatizo nadhani ni kujisahau kwa vijana.Huyo anakuwa na sababu ya kutowakumbuka,lakini wengi wamefika hapo walipo kwa msaada wa wazazi wao....ivo lazima wawakumbuke
Iko hivi:Yaan wamekulea kwa shida,wamekusomesha kwa shida ila kaz uliyopata na tayari una familia inayokutegemea then hiyo familia yako ikakufanya ukashindwa kutunza wazazi au kuwasaidia wazazi ....huenda kuna muda wanakusaidia wewe kwa kidogo walichonacho kwa sababu wanaona magumu yako.Unajisikiaje eti? πππππ
DΓ a,jamani....tusifikie huko....daaIko hivi:
Si wajibu wa mtoto kumtunza mzazi, ila ni wajibu wa mzazi kumtunza mtoto. Waafrika hapo ndo uwa tunafeli. Unamsomesha mtoto ili aje akusaidie, yaani kukusaidia kwa maana ya kuanza kukuhudumia kiuchumi.
Kama unamwandaa mtoto wako aje kukusaidia wewe, kizazi chake kitasaidiwa na nani?!. Pambana. Kama unamsomesha mtoto aje kukusaidia labda aje kukusaidia kuendesha biashara zako. Sio umwandae mtoto kumbebesha taabu zako za kiuchumi. Nae anazake.
Ni mchungu, ila ndo ukweli.DΓ a,jamani....tusifikie huko....daa
Hiyo umesema wewe, si kila mtu ataona hivyo.Fadhira Mkuu,huwez acha mzazi ataabike nawe upo hai
Vipi kama na wewe bado hujawa vizuri kiuchumi?Yaan wamekulea kwa shida, wamekusomesha kwa shida ila kaz uliyopata na tayari una familia inayokutegemea then hiyo familia yako ikakufanya ukashindwa kutunza wazazi au kuwasaidia wazazi, huenda kuna muda wanakusaidia wewe kwa kidogo walichonacho kwa sababu wanaona magumu yako.
Unajisikiaje eti? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Si afadhali huyo wa familia. Kuna jamaa alishindwa kumtumia mama yake hela ya kufanyiwa oparation ya uvimbe tumboni.Yaan wamekulea kwa shida, wamekusomesha kwa shida ila kaz uliyopata na tayari una familia inayokutegeme π"then hiyo familia yako ikakufanya ukashindwa kutunza wazazi au kuwasaidia wazazi", π huenda kuna muda wanakusaidia wewe kwa kidogo walichonacho kwa sababu wanaona magumu yako.
Unajisikiaje eti? πππππ