Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Heshima yenu wakuu!
Kwanza kabisa nipo Tayari kuambiwa Mimi ni mshamba Nisawa kabisa.
Lakini sijawahi vutiwa Wala kufurahishwa na matumizi ya choo Cha kukaa.
Huenda kuishi kwangu Kwa zaidi ya miaka 20 bila kutumia choo Cha namna hii huenda ndio sababu kuu ya kunifanya Mimi nisipende matumizi ya choo Cha namna hii.
Imagine choo kinatumika zaidi ya watu15 halafu wote wanakaa hapa Kwa kweli Mimi binafisi Huwa naenda kilipo choo Cha kuchuchumaa
Nipo Tayari nisafiri kama fungo kujisaidia nikiwa nime relax kabisa.
Kipindi najenga nilinunua Kwa ajiri ya choo Cha ndani kwangu lkn badae nikabadiri maamzi Tena nikaona Bora hiki kiwe Cha wageni Mimi na wife tuendelee kuchuchumaa. Ova.