Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #141
Kwa hapa bongo walivyo wachafu vile nitatoka nawaza kama nimekalia mavi. Ushauri mzuri nimeuchukua.Ukitumia choo cha kukalia cha public fanya mambo mawili.
Kwanza mwagia maji hapo sehemu ya kukalia, halafu tumia toilet paper kupangusa. Baada ya hapo tandaza toilet paper hapo sehemu ya kukalia halafu kalia hizo toilet paper. Hivyo ndiyo mimi nafanya siku zote.