Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote Hela yangu haiwezi kuniendesha mkuu. Hayo yte utasema lkn siwezi kunya huku nimekaa Huwa sijisikii huru kabisa. Achana hata na mke wangu hata ningekuwa mwenyew tu siwezi kunya huku nimekaa sijisikii amani na uhuru kama kuchuchumaa! Ng'ombe hajawahi ugua kipindupindu mkuu. Samahani lkn😹Hoja ya hovyo sana hii, nadhani Mods waisukumie kule kwenye Jokes. Yaani hata mkeo mmeshindwa kushea hiko choo? Wewe ni mlugaluga uliyezoea kujisaidia kama ng'ombe. Samahani lakini.
Kuna watu kufika USA na SA basi tulikomea mwakareli wanatuona nyani tu. Lkn wangejua kuwa Bado haisadii kitu hata wakitujengea vya kukaa tutapanda juu yake tukate gogo Kwa uhuru zaidi Wala wasingebweka humu😂😂😂Mi mwenyewe hiki kilinishinda hasa wakati wa kujitawaza, mpaka utakakate vzr ushachezea kinyesi mpaka basi😏
Aliyekuambia Daslam ndo Kuna vyoo vya kukaa pekee yake ninani?Kabisaaa wakae tu huko kwao maporini kwan lazma waje daslam tena wanye kwenye vichaka washikwe mamba hv dunia ya Leo una dought kuhusu choo vya kisasa jaman kweli tz ina mbumbumbu wenyew waeupe wamevigawa kati ya Asia na Europe toilets ww unataka mbibi wa watu akajikunje ni kweli ww hubiwez ila hata hyo floor kuiosha iwe safi imekushinda
Nakubali mkuuMimi nikikaa nnya haitoki kabisa. Ila nikichuchumaaa natoa mzigo wa kueleweka Hadi pa kumwagia maji hapaonekani. Kuchuchumas Raha sana sana.
Mkuu ukiugua sio kukaa tu hata kuna umelala utakunya tu na hakuna atakae kuhoji. hatuzungumzii ktika hali ya ugonjwaChoo hiki hutaona umuhim wake had uje uugue sana au uvunjike mguu ...
Aisee! Nilicheka sana ile post ya jamaaKuna thread nimeona jamaa anasema tuwe makini tusipasuke makende.
Kunya ni raha. Mimi bila kuchuchumaa sipati hiyo rahaTeka nyara hizo fikra uzitoe. Tumetoka huko tayari
Nakushauri jipe muda tu, kuna kaustaarabu kakianza kukuingia baadhi ya fikra zako automatically zitabadilika. Jipe muda ila nakushauri usikaze fuvu saaana, acha kanafasi ka kujifunza zaidi.Siku zote Hela yangu haiwezi kuniendesha mkuu. Hayo yte utasema lkn siwezi kunya huku nimekaa Huwa sijisikii huru kabisa. Achana hata na mke wangu hata ningekuwa mwenyew tu siwezi kunya huku nimekaa sijisikii amani na uhuru kama kuchuchumaa! Ng'ombe hajawahi ugua kipindupindu mkuu. Samahani lkn😹
Hivi ipo jukwaa lipi niisake?Aisee! Nilichukua sana ile post ya jamaa
🤣🤣🤣
Ngoja nitafute nita-u pasteHivi ipo jukwaa lipi niisake?
Sawa mkuu kama ikibidi nitakunya huku nimekaa lakin kwa sasa subiri kwanzaNakushauri jipe muda tu, kuna kaustaarabu kakianza kukuingia baadhi ya fikra zako automatically zitabadilika. Jipe muda ila nakushauri usikaze fuvu saaana, acha kanafasi ka kujifunza zaidi.
Sawa mkuu.AhsanteNgoja nitafute nita-u paste
Nakubaliana na wewe unaposema kunya ni starehe, sasa swali langu starehe unaipataje ukiwa umechuchumaa kama vile umedakwa kwa kukatiza kwenye kambi ya jeshi?Sawa mkuu kama ikibidi nitakunya huku nimekaa lakin kwa sasa subiri kwanza
Nadhani mazoea ndo yaliyonifanya nione kukuchumaa ni bora zaidi kuliko kukaa.Nakubaliana na wewe unaposema kunya ni starehe, sasa swali langu starehe unaipataje ukiwa umechuchumaa kama vile umedakwa kwa kukatiza kwenye kambi ya jeshi?
Halafu unakataa kuinjoy starehe hiyo hiyo ukiwa umekaa. Wewe unaweza kusafiri kwenye gari ukiwa umechuchumaa?
Halafu hiyo dhana nadhani ni potofu. Nadhani vyoo vya shimo vinahitaji maji zaidi. Kumwagilizia kikombe kimoja baada ya kutumia choo ndiyo maana vyoo vinanuka.kwa sababu vyoo vya Kukaa Vinahitaji maji ya Kutosha Kuflash
Ukitumia choo cha kukalia cha public fanya mambo mawili.Nadhani mazoea ndo yaliyonifanya nione kukuchumaa ni bora zaidi kuliko kukaa.
Kingine ni kile kinyaa tu cha kuwaza hapa fln nae hukaa na kunya aisee hiki kitu kikinijia tu hata choo kiwe kisafi namna gani. mkuu kwa upande wa usafi hapa ofisini napofanyia kazi wala siyo jambo la kuuliza asee. ni choo ambacho hata waziri wa...... huwa akija anatumia hikihiki na viogozi wengine wakubwa. mfano sinki la kukojorea ukivua na kutoa mshendende tu tiyari maji yanatoka automatic ukifunga hivyohivyo vyoo hata ukiweka godoro utalala. kwa kifupi tu panavutia sana. shida ni kukaa na hilo niliosema la kinyaa.
Kwahiyo ni swlaa la mind set saah wah. eeh?Kunya ni raha. Mimi bila kuchuchumaa sipati hiyo raha
Mkuu sikatai kabisaa wala kubishana na yeyote yule. unaweza kukaa kwa sababu tu mfumo umekulazimu hivyo.yaani ni sawa na wewe ukienda china nasikia hawatuymii sukari kule iwe kwenye chai au mboga {sijui kama ni kweli}.Wazee Duniani uko Vyoo vya Kuchuchuma Ni nadra sana, Huwa nawaza Hivi vyoo vya Kuchuchuma Pengine Vimekuwepo africa kwa sababu ya Mazingira magumu na Hygiene Mbovu ndio mana vimekuww Distributed public kwa sababu vyoo vya Kukaa Vinahitaji maji ya Kutosha Kuflash, Nimeona watu wanasema vyoo ivi ni kwa ajili ya Walemavu hio sio Kweli Mataifa Mengi yaliyoendelea Ni Vyoo vya Kukaa hata Bongo tu hapo Kuanzia Airport kule hakuna mambo ya Vyoo vya Kuchuchuma