Hivi unajisikiaje unapotumia choo cha kukalia?

Hivi unajisikiaje unapotumia choo cha kukalia?

Waliokuletea choo washapita huko sasa wanakata kimba huku wanasoma gazeti. Ni swala la muda tu na nyie mkielimika, kuendelea na vipato kuongezeka mtaacha kukariri maisha na kumove on.

Imenikumbusha zamani ubishani kati ya magari auto vs manual wengine wakisema auto ni magari ya kike ila Leo hii ni nadra sana kukuta mtu anajua kuendesha gari manual. Watoto wa 2000 ambao sasa wapo in their 20s hawajui kabisa kama magari manual yamewani kuwepo. Same applies mbele, waliacha kuchuchumaa miaka 200 iliyopita na hawajui kipindupindu ni nini wakati nyie hadi Leo kinawamaliza. Kwanza na vyoo vyenyewe ni msaada wa watu wa Marekani 😅
Hawa ndio ile jamii siwezi kuongozwa na mwanamke mostly huwa na akili na mind set za uzamani hata awe na PhD ataishii kiuzamani kujenga nyumba na mifugo pem Eni au ndani
 
Heshima yenu wakuu!

Kwanza kabisa nipo Tayari kuambiwa Mimi ni mshamba Nisawa kabisa.

Lakini sijawahi vutiwa Wala kufurahishwa na matumizi ya choo Cha kukaa.

Huenda kuishi kwangu Kwa zaidi ya miaka 20 bila kutumia choo Cha namna hii huenda ndio sababu kuu ya kunifanya Mimi nisipende matumizi ya choo Cha namna hii.

Imagine choo kinatumika zaidi ya watu15 halafu wote wanakaa hapa Kwa kweli Mimi binafisi Huwa naenda kilipo choo Cha kuchuchumaa

Nipo Tayari nisafiri kama fungo kujisaidia nikiwa nime relax kabisa.

Kipindi najenga nilinunua Kwa ajiri ya choo Cha ndani kwangu lkn badae nikabadiri maamzi Tena nikaona Bora hiki kiwe Cha wageni Mimi na wife tuendelee kuchuchumaa. Ova.

View attachment 3167543
Siku ukipata shida ya miguu....utaelewa kisa na maana.
 
Siku ukiumwa miguu ndo utajua umuhimu wa hicho choo cha kukaa.nilikua na menntality kama yako but now nimegundua mzungu sio mjinga kuja na hiyo innovation ya choo cha kukaa.
 
Siku ukiumwa miguu ndo utajua umuhimu wa hicho choo cha kukaa.nilikua na menntality kama yako but now nimegundua mzungu sio mjinga kuja na hiyo innovation ya choo cha kukaa.
Hapo upo sawa Kwa mtu mwenye tatizo sikatai maana ukiwa mgonjwa hata kwenye beseni utajisaidia tu. Hapo imebidi lkn ukiwa na afya njema tukubaliane hakifai
 
Siku ukipata shida ya miguu....utaelewa kisa na maana.
Watu kama ninyi Huwa sijui mitazamo yenu asee. Sasa Mimi Kwa Sasa siyo mgonjwa na Sioni umhimu wake basi siku nikiwa mgonjwa ama tatizo hata kwenye ndio nitajisaidia tu Haina jinsi maadamu nitakuwa sijiwezi Tena.

Kwanini Kwa Sasa nisifanye kile nachopenda?
 
Hawa ndio ile jamii siwezi kuongozwa na mwanamke mostly huwa na akili na mind set za uzamani hata awe na PhD ataishii kiuzamani kujenga nyumba na mifugo pem Eni au ndani
Sawa na ushoga wamewaletea mkuu pokeeni tu ndo ukisasa huo.
 
Kusema kweli Mimi hizi vyooo vya kukaa Huwa nachuchumaa juu yake.siwezi kukaa sehemu ambayo Kila mtu anakalisha batako zake na usafi ni zero.
 
Sorry ila sijaona point.
Angalia nchi zenye maambukizi makubwa ya magonjaa ya tumbo na nchi zenye maambukizi madogo halafu fananisha aina za vyoo.
Na tusitumie hoja ya joto, Florida kuna joto na hamna nzi. Kwa sababu hamna vinyesi, vyoo vya kuchuchumaa utagonga tu nje ya shimo na nzi hapo anatumia nafasi.
Matumbo ni uchafu kula bila kunawa
Maji ya kwenye visima (bwawa) nk haziendani kabisa na choo.
 
Waliokuletea choo washapita huko sasa wanakata kimba huku wanasoma gazeti. Ni swala la muda tu na nyie mkielimika, kuendelea na vipato kuongezeka mtaacha kukariri maisha na kumove on.

Imenikumbusha zamani ubishani kati ya magari auto vs manual wengine wakisema auto ni magari ya kike ila Leo hii ni nadra sana kukuta mtu anajua kuendesha gari manual. Watoto wa 2000 ambao sasa wapo in their 20s hawajui kabisa kama magari manual yamewani kuwepo. Same applies mbele, waliacha kuchuchumaa miaka 200 iliyopita na hawajui kipindupindu ni nini wakati nyie hadi Leo kinawamaliza. Kwanza vyoo vyenyewe ni msaada wa watu wa Marekani 😅
Wacha tusubiri mkuu. Lkn Kwa Sasa hapana kwakweli. Tusubiri tu tuelemike kama sio sisi Watoto wetu na wajukuu sawa Haina shida kabisa
 
Back
Top Bottom