Hivi unajisikiaje unapotumia choo cha kukalia?

Hivi unajisikiaje unapotumia choo cha kukalia?

Jamii zisizotumia vyoo vya kukaa zinaongoza kwa magunjwa ya tumbo kama vile typhoid na kipindupindu.
Vyoo va kuchuchumaa vingi ni vichafu na vina harufi mbaya sana. Na kwa asilimia kubwa kinyeai hugonga kwenye plate hasa ukiharisha.
Magunjwa mengi ya kuambukiza husafiri kwenye vitasa vya mlango. Je, haoni kinyeai kutumia kitasa cha mlango?
.
Hivyo vya kukaa ukiachia mzigo maji yanakurukia kwenye mkuuundu na puuumbuuuuuu. Huoni ndo vyazo vywa magonjwa hayo? Kwenye hoja Yako ya usafi hata hivyo kama usipokuwa msafi Bado Hali ni ileile Tena ndo mbaya zaidi
 
Hivyo vya kukaa ukiachia mzigo maji yanakurukia kwenye mkuuundu na puuumbuuuuuu. Huoni ndo vyazo vywa magonjwa hayo? Kwenye hoja Yako ya usafi hata hivyo kama usipokuwa msafi Bado Hali ni ileile Tena ndo mbaya zaidi
Sorry ila sijaona point.
Angalia nchi zenye maambukizi makubwa ya magonjaa ya tumbo na nchi zenye maambukizi madogo halafu fananisha aina za vyoo.
Na tusitumie hoja ya joto, Florida kuna joto na hamna nzi. Kwa sababu hamna vinyesi, vyoo vya kuchuchumaa utagonga tu nje ya shimo na nzi hapo anatumia nafasi.
 
Waliokuletea choo washapita huko sasa wanakata kimba huku wanasoma gazeti. Ni swala la muda tu na nyie mkielimika, kuendelea na vipato kuongezeka mtaacha kukariri maisha na kumove on.

Imenikumbusha zamani ubishani kati ya magari auto vs manual wengine wakisema auto ni magari ya kike ila Leo hii ni nadra sana kukuta mtu anajua kuendesha gari manual. Watoto wa 2000 ambao sasa wapo in their 20s hawajui kabisa kama magari manual yamewani kuwepo. Same applies mbele, waliacha kuchuchumaa miaka 200 iliyopita na hawajui kipindupindu ni nini wakati nyie hadi Leo kinawamaliza. Kwanza vyoo vyenyewe ni msaada wa watu wa Marekani 😅
 
Umewahi kubahatika kutoka walau nje ya Tanzania? Bila shaka hujawahi ndiyo maana unaanzisha thread kama hii. Nasema hivi kwa sababu Bongo watu wanadhani choo ni lazima kiwe kichafu sana na inzi kwa wingi. Kwa taarifa yako Ulaya hakuna vyo vya kuchuchumaa. Infact ni kuanzia hapo airpot, ukishaingia kwenye ule ukumbi wa kuondokea, kwenye ndege, na unakokwenda kote ni vyoo vya kukaa. Uzuri ni kuwa majuu watu ni wastaarabu na wanajua maana ya hygyne. Na kwa Tanzania kuna watu wengi tu nyumbani wana vyoo vya kukaa. Kama umezaliwa mbugani huko mnakokata magogo vichakani hili linaweza kuwa jambo la ajabu kwako.

Nawaambia kila siku kinachowasumbua sio choo chenyewe bali ujinga, uchafu na umaskini. Bongo hadi choo Cha jumba leupe kinanuka mtu unaanzia wapi kukaa? Usafi wa vyoo umewashinda wabongo wengi hii ni fact.
 
Hoja ya hovyo sana hii, nadhani Mods waisukumie kule kwenye Jokes. Yaani hata mkeo mmeshindwa kushea hiko choo? Wewe ni mlugaluga uliyezoea kujisaidia kama ng'ombe. Samahani lakini.
Kabisaaa wakae tu huko kwao maporini kwan lazma waje daslam tena wanye kwenye vichaka washikwe mamba hv dunia ya Leo una dought kuhusu choo vya kisasa jaman kweli tz ina mbumbumbu wenyew waeupe wamevigawa kati ya Asia na Europe toilets ww unataka mbibi wa watu akajikunje ni kweli ww hubiwez ila hata hyo floor kuiosha iwe safi imekushinda
 
Back
Top Bottom