Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishafika 60's and above ndio vinakuwa na umuhimuHeshima yenu wakuu!
Kwanza kabisa nipo Tyr kuambiwa Mimi ni mshamba Nisawa kabisa.
Lakini sijawahi vutiwa Wala kufurahishwa na matumizi ya choo Cha kukaa.
Huenda kuishi kwangu Kwa zaidi ya miaka 20 bila kutumia choo Cha namna hii huenda ndio sababu kuu ya kunifanya Mimi nisipende matumizi ya choo Cha namna hii.
Imagine choo kinatumika zaidi ya watu15 halafu wote wanakaa hapa Kwa kweli Mimi binafisi Huwa naenda kilipo choo Cha kuchuchumaa
Nipo Tyr nisafiri kama fungo kujisaidia nikiwa nime relax kabisa.
Kipindi najenga nilinunua Kwa ajiri ya choo Cha ndani kwangu lkn badae nikabadiri maamzi Tena nikaona Bora hiki kiwe Cha wageni Mimi na wife tuendelee kuchuchumaa. Ova.
View attachment 3167543
Hii ni kazi ngumu asee.Mimi huwa naenda mahala kilipo cha kuchuchumaa nikiwa ugenini haina jinsiKama upo mahali pa lazima sana kutumia bas nenda na spirit na pamba unapafuta kwnz kbl hujajikalisha
uhakikaMwingine anajihisi kama amepakatwa katikati ya mapaja ya mwanaume
Ukidondosha mzigo maji yanakurikia kwenye pumbuNdo ukute sehem Kuna baridi sio poa kukalia hicho choo
Waulize wanaume wa darHeshima yenu wakuu!
Kwanza kabisa nipo Tyr kuambiwa Mimi ni mshamba Nisawa kabisa.
Lakini sijawahi vutiwa Wala kufurahishwa na matumizi ya choo Cha kukaa.
Huenda kuishi kwangu Kwa zaidi ya miaka 20 bila kutumia choo Cha namna hii huenda ndio sababu kuu ya kunifanya Mimi nisipende matumizi ya choo Cha namna hii.
Imagine choo kinatumika zaidi ya watu15 halafu wote wanakaa hapa Kwa kweli Mimi binafisi Huwa naenda kilipo choo Cha kuchuchumaa
Nipo Tyr nisafiri kama fungo kujisaidia nikiwa nime relax kabisa.
Kipindi najenga nilinunua Kwa ajiri ya choo Cha ndani kwangu lkn badae nikabadiri maamzi Tena nikaona Bora hiki kiwe Cha wageni Mimi na wife tuendelee kuchuchumaa. Ova.
View attachment 3167543
Wata mindWaulize wanaume wa dar
Nilikuwaga najisemea kuwa mimi ni mshamba, kumbe akili zangu ziko sawa. Hivyo vyoo hapana kabisa.Huwa nawaza mengi sana hunichukua hadi dk 1 nafanya maamzi nitumie au nisitumie
Sahihi kabisa mkuuNilikuwaga najisemea kuwa mimi ni mshamba, kumbe akili zangu ziko sawa. Hivyo vyoo hapana kabisa.
Ni heri niende kwa jirani nikamalize shughuli.
Kuchuchumaa ndio style ya kila mnyama. Hakuna mnyama anashisha akiwa amekaa. Sijawahi ona.
Mamake, mi nilivyo mdhaifu na kunya....hapa nalala tu mpaka niamshwe. Nakiri kuwa hakuna starehe zaidi ya kunya, nani anabisha?Heshima yenu wakuu!
Kwanza kabisa nipo Tyr kuambiwa Mimi ni mshamba Nisawa kabisa.
Lakini sijawahi vutiwa Wala kufurahishwa na matumizi ya choo Cha kukaa.
Huenda kuishi kwangu Kwa zaidi ya miaka 20 bila kutumia choo Cha namna hii huenda ndio sababu kuu ya kunifanya Mimi nisipende matumizi ya choo Cha namna hii.
Imagine choo kinatumika zaidi ya watu15 halafu wote wanakaa hapa Kwa kweli Mimi binafisi Huwa naenda kilipo choo Cha kuchuchumaa
Nipo Tyr nisafiri kama fungo kujisaidia nikiwa nime relax kabisa.
Kipindi najenga nilinunua Kwa ajiri ya choo Cha ndani kwangu lkn badae nikabadiri maamzi Tena nikaona Bora hiki kiwe Cha wageni Mimi na wife tuendelee kuchuchumaa. Ova.
View attachment 3167543
Hya banaMamake, mi nilivyo mdhaifu na kunya....hapa nalala tu mpaka niamshwe. Nakiri kuwa hakuna starehe zaidi ya kunya, nani anabisha?
Nina stamina balaaSiku ukivunja meno na miguu usilaumu mtu.
Uchunguzwe Kuna tafiti inaelezea unavyoona starehe unapokata gogo ndio kama shoga anavyohisi mpini wa jembe wakati wakulimia mahindiMamake, mi nilivyo mdhaifu na kunya....hapa nalala tu mpaka niamshwe. Nakiri kuwa hakuna starehe zaidi ya kunya, nani anabisha?
Jamii zisizotumia vyoo vya kukaa zinaongoza kwa magunjwa ya tumbo kama vile typhoid na kipindupindu.Heshima yenu wakuu!
Kwanza kabisa nipo Tayari kuambiwa Mimi ni mshamba Nisawa kabisa.
Lakini sijawahi vutiwa Wala kufurahishwa na matumizi ya choo Cha kukaa.
Huenda kuishi kwangu Kwa zaidi ya miaka 20 bila kutumia choo Cha namna hii huenda ndio sababu kuu ya kunifanya Mimi nisipende matumizi ya choo Cha namna hii.
Imagine choo kinatumika zaidi ya watu15 halafu wote wanakaa hapa Kwa kweli Mimi binafisi Huwa naenda kilipo choo Cha kuchuchumaa
Nipo Tayari nisafiri kama fungo kujisaidia nikiwa nime relax kabisa.
Kipindi najenga nilinunua Kwa ajiri ya choo Cha ndani kwangu lkn badae nikabadiri maamzi Tena nikaona Bora hiki kiwe Cha wageni Mimi na wife tuendelee kuchuchumaa. Ova.
🤣🤣Kuna thread nimeona jamaa anasema tuwe makini tusipasuke makende.
Kuvimbiwa ni flatulence.Una maanisha kuvimbewa? navyojua kuvimbewa ni kuachia ushuzi kwa njia ya mdomo unao nuka balaaaa. haiingiliani na kujisaidia na ukianza kujisadia tu tyr huwezi cheua tena.