Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #141
Kwa hapa bongo walivyo wachafu vile nitatoka nawaza kama nimekalia mavi. Ushauri mzuri nimeuchukua.Ukitumia choo cha kukalia cha public fanya mambo mawili.
Kwanza mwagia maji hapo sehemu ya kukalia, halafu tumia toilet paper kupangusa. Baada ya hapo tandaza toilet paper hapo sehemu ya kukalia halafu kalia hizo toilet paper. Hivyo ndiyo mimi nafanya siku zote.
Kabisa mkuu nadhani labda fikra za kuchucumaa zikiondoka itawezekanaKwahiyo ni swlaa la mind set saah wah. eeh?
Sahihi kabisa, vyoo vya kibongo ni vichafu mno. Unakuta maji yapo kwenye ndoo haujui yamechotwa wapi, ukiyatumia unaweza ota majipu. Wengine tukitaka kujisaidia unataka uvue suruali utundike ili unye vizuri raha mstarehe na wakati unajisafisha suruali isilowe! Ukitaka kuvua unakuta sakafu chafu, ukiangalia hamna pa kutundika.Kwa hapa bongo walivyo wachafu vile nitatoka nawaza kama nimekalia mavi. Ushauri mzuri nimeuchukua.
Hipo siku tutakuja kuwafikia wazungu asee. Hawa jamaa kwenye usafi na madawa ya kuua bacteria wanajari sana asee nenda vyoo vya kulipia pamoja na kwamba unatoa hela yako lkn vile vyoo havitamaniki kabisa na havifai kwa matumizi. yaani unachuchuma huku unaona cheche za mavi zimezagaa ovyoo kabisa. madawa ndo hamna kabisaa choo inanukaa mbaya.Sahihi kabisa, vyoo vya kibongo ni vichafu mno. Unakuta maji yapo kwenye ndoo haujui yamechotwa wapi, ukiyatumia unaweza ota majipu. Wengine tukitaka kujisaidia unataka uvue suruali utundike ili unye vizuri raha mstarehe na wakati unajisafisha suruali isilowe! Ukitaka kuvua unakuta sakafu chafu, ukiangalia hamna pa kutundika.
Hiyo safari ni ndefu saaanaHipo siku tutakuja kuwafikia wazungu asee. Hawa jamaa kwenye usafi na madawa ya kuua bacteria wanajari sana asee nenda vyoo vya kulipia pamoja na kwamba unatoa hela yako lkn vile vyoo havitamaniki kabisa na havifai kwa matumizi. yaani unachuchuma huku unaona cheche za mavi zimezagaa ovyoo kabisa. madawa ndo hamna kabisaa choo inanukaa mbaya.
Matumizi yake ni sawa ...ni kama kunywa maji na soda vyote ni vinywaji ingawa vina sifa tofauti...Kwahiyo Neno kaa na chuchumaa Yana fanana? Yaani ukiambiwa chuchumaa halafu ukakaa utakuwa uko sawa?