Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Hii ndo shida ya kulazimisha ndoa.
 
Ili kuwaje sasa mpk unaoa mtu ambae humpendi au nyie ndio mlioletewa hiyo mizigo mpka mlangono
 
Kwanini ule kiapo cha kuishi milele na mtu usiempenda? Hapa ndo siwaelewi kabisa binadamu. Mtu anakwambia kabisa simpendi gf/bf wangu ila nitaolewa nae tu. Utumwa wa nafsi siwezi kuishi na mtu nisiempenda tena under one roof ndo kabisaa. Ndo maana kuna watu wako2 kwenye ndoa wana kila kitu ila hawana furaha sababu ya kukurupuka kuweka wenza wasiowapenda ndani.
 
Fact kabisa
 
Fact kabisa
Ni bora utumie muda wako duniani kutafuta unaempenda kuliko kujiingiza kwenye ndoa usiyokua nayo na furaha. Huwa naamini hell and heaven ziko duniani. Kwanini uishi kwenye ndoa2 ya mateso (hell) kabla hujaenda kuhukumiwa kwa Mungu baadae. Watu wengi tuna pressure sana na ndoa. Tunaamini ndoa ni kila kitu.
 
Usiwe na presha mambo mazuri tu...
 
Unajikuta hamna namna mtu anakulazimishia mazingira basi sawa mi nishakubali tu nitafanyaje nikipinga zaidi ya hapo inakuwa ni roho mbaya isio kuwa na huruma .Na wengine tupo karibu na huruma sana .Ndio hivyo ushaoa unajipa moyo uta mshape hivi atakuwa hivi unajikuta hamna kitu patupu,unabaki unasema shauri yake au potelea mbali .Mambo mengine ni mambo ya kumsaidia yeye akae kama unavyotaka wewe lakini wapi ndio ivyo unashangaa miaka kumi hata picha ya pamoja na mkeo huna.
Unakuja gundua upstair empty kabisa. Hapo ndio unapoona nilibugi kweli.
Ila haya ndio inatoka kwa Mungu hakuna mke mbaya.
Inabidi Ushukuru kwa yote kwani mi mwenyewe sijakamilika labda ananivumilia na ndio ukweli.
 
Duuh wanaeume wana siri, penginw mkeo nae anakuchukulia the way unavyomchukulia na ana mtu wanaependana kiasi kwamba anatamani hata azae nae aupengine hata hao watoto ni mchepuko wake,what goes round always comes around
 
Aisee imeniuma Sana unamkosea sana mkeo sio kwamba hafeel hicho unafanya anaumia ila anakaa kimya kama huwezi kurekebisha muache eti I hate my wife wewe khaaaaa

Muache atampata WA kumpenda kaoe mchepuko wako
 
YANI HII UNGEWEKA THREAD YAKE...ANYWAY MIMBA SASA NI YAKO UMEMPA AU MWINGINE KAMPA BAADA YA KUMPIGA CHINI...PIA ISHU YA NDOA KULIKONI ....NDIO MAANA KUOA SIJAAMUA KABISA MAANA NAONA KUBUGI STEP NI KWINGI SANA...TAFADHALI TUPE INSIDE CHALLENGES MKUU
 
Ili kuwaje sasa mpk unaoa mtu ambae humpendi au nyie ndio mlioletewa hiyo mizigo mpka mlangono
Up mzigo umekua saiaz Ila mwanzo alikua MTU na heshima sake tu,na kumtongoza nilisotea ez km 6 mpaka ughaili wik,hutum at a meseji lakini unaliamusha tena ukimwita anakuja kama chakula mtakula vizuli tatizo nilikua nikiomba mzigo hanipi,kwaiyo elewa sjaletewa km unavozani Bali niliyatafuta mwenyewe matatizo yanayonitesa kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…