Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Unazani mwanzon anakua hakupend au na we we humpend tatzo ukisha oa tu ndio mabadirko yanapojionyesha ambapo mwanzo havukuwepo
 
Seya wa mivado.. Niko pub imegongwa hii zilipendwa naona nyomi lote limesimama.
 
Tumwachie Mungu tu maana...mmmh wanawake wa sasa wengi wao hawajui kushukuru hata kwa kile kidogo kizur watendewacho...badala yake wanakuona mjinga tuuuuu....
 
Ndio ...tumeoana mwaka wa 7 huu lkn kila cku kama mmeoana leo ...lkn mdg wangu mwaka wa 2 kwenye ndoa tyr malalamiko kibao
Lkn pia tambua kuwa na wazungu nao ni binadamu, kwahyo wapo wenye upendo wa kweli na wasio na upendo wa kweli.
 
Ndio ...tumeoana mwaka wa 7 huu lkn kila cku kama mmeoana leo ...lkn mdg wangu mwaka wa 2 kwenye ndoa tyr malalamiko kibao
Halafu wanaume wenye nia na upendo wa kweli hawanaga mambo mengi zaidi ya kupenda na kujali....lakin ndio wanaoonekana kama washamba na wajinga. Matokeo yake mabinti wanakimbilia et kwa wale wanaodhan kuwa hao ndio wa mjini.....matokeo yake ni mabaya.....
 
Ndio ...tumeoana mwaka wa 7 huu lkn kila cku kama mmeoana leo ...lkn mdg wangu mwaka wa 2 kwenye ndoa tyr malalamiko kibao
Lkn pia kama mumeo anakujali shukuru Mungu, nenda katoe sadaka kanisani ama msikitini, usije ukamchukia mume wa mdogo wako buree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…