Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Nahisi wengi wataipenda idea ya vibanda vya Tigopesa but nataka niwaambie muangalie na location mtakazoenda kuplan kuvipangisha.
Mfano, tuchukulie Kariakoo ndiko hasa biashara ya pesa chini ya miamvuli hufanyika kwa wingi ila huwezi kuweka kibanda katikati ya mtaa au makutano ya mtaa manispaa wakakuelewa, lazima watakutoa tu mie nadhani labda vibanda vya biashara nje ya mji ndiyo itakuwa haimuumizi mtu kichwa.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk