Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

🤝🤝

Pamoja mkuu,
japo wengi hapo watasema lak 8 hadi milioni hawana.
Ukipata muda wape na tips za biashara za mtaji wa 30 hadi laki moja.
 
Wengine sisi biashara hatuziwezi, usimamizi unasumbua.

Miaka ya 2006/2007 nilianzisha mradi wa kuwamiliki kibiashara hawa wadada wa biashara ndogo ndogo.. Kitabu na safari nyingi kulinifanya nikashindwa kuzisimamia.

Aliyesema mitaani kuna pesa nyingi yuko sahihi. Hizi buku 2, 2 ukizijulia unazikusanya in bulk tena kwa siku na bado unaheshimika kitaa. Ni nyingi ukihesabu kwa wiki, mwezi, mwaka na hazinaga kodi za ajabu ajabu.

Ngoja niwaze tena.
 
Big up !! Mungu akubariki , una upendo wa hali ya juu ! Wengi huwa hawapendi kutoa siri za maendeleo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen mkuuu,tubarikiwe sote 🙏

watanzania usiogope wapa siri ya mafanikio mkuu

maana ktk watu 100 ataefanya vitendo ni mmoja tu

wengine wataitikia tu ila watabaki na theory vichwani mwao.

Muhimu tuwape maarifa ya kila tunachohisi kitatusaidia wote mkuu.
 
Back
Top Bottom