Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

Mkuu barikiwa sana nimependa hiyo ya makabati na viti, ila tatizo letu wabongo uaminifu sifuri...unaweza kumkodishia mtu vitu kama hivyo akahama usiku kwa usiku au akawa analeta malipo kwa mbinde kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen mkuu,nashukuru sana 🙏 na Mungu akubariki na wewe pia.

kuhusu hilo la kabati mkuu, unapomkodishia ni lazima kabati baada ya kazi umwambie akamkabidhi nani,usimpe tu ukamuamini (usiamini mtu kirahisi hvyo)

kwa kufanya hivyo utakua umeweka ulinzi na uhakika wa wapi kabati lako liende baada ya kumaliza kazi,kumwaminisha ukamuachia saa nyingine hata mtu sio mwizi ila unamtamanisha kukuibia.
 
Dunia inahitaji sana watu km ww mkuu CONTROLA, Nauhifadhi huu uzi mana ni uzi muhimu sna

Nna mavifaa ya chips nimeyafungia ndan karibu miez 3 ss kisa sijapata mtu wa kufanya, ngoja nifanye mpango wa kukodisha asee

Sent using Jamii Forums mobile app
NI KWELI mkuu ulikua umefungia hela ndani,wapo watu wanahaha huko wapate wapi vitu wakodishe,nakuhakikishia ukifanya hivyo mkuu utakua umemsaidia mtu mahali na wewe pia utajiingizia kipato chako.
 
Back
Top Bottom