kwenye vibanda hapo utatakiwa kugawana pesa na mwenye eneo maana ukiweka kibanda kwenye eneo la mtu lazima umlipe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli huwezi peleka kibanda ktkat ya mji,japo pia inawezekana.Nahisi wengi wataipenda idea ya vibanda vya Tigopesa but nataka niwaambie muangalie na location mtakazoenda kuplan kuvipangisha.
Mf:tuchukulie Kariakoo ndiko hasa biashara ya pesa chini ya miamvuli hufanyika kwa wingi ila huwezi kuweka kibanda katikati ya mtaa au makutano ya mtaa manispaa wakakuelewa,lazima watakutoa tu mie nadhani labda vibanda vya biashara nje ya mji ndo itakuwa haimuumizi mtu kichwa.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk