Mamyyy samalekoMimi napenda sana kuitwa mamy
Wangu alikua ananiita mama nikamwambia ishia hapo hapo mi siezi kua mama ako!Mimi napenda sana kuitwa mamy
Majina yote sawa ila kwangu mimi mama NO! Siezi kua mama wa mtu ambae nalala nae!Utakuwa unamaelekezo ya dini au vinginevyo masuala ya majina ktk mapenzi hayana fomula unaweza mwita chura, pimbi, mpenzi, switihati, mai wangu, mwezi, jua etc au kuna majina umekaririshwa na shekhe au mchungaji wako? Watu wakiwa katka sarakasi kitandani wanatukana matusi kama yote kwa raha wanazopeana je, nayo hayaruhusiwi mnataka wakati wa kunyanduana watu waimbe nyimbo za kuabudu au kaswida?
Wewe mshamba sana, pia mimi mke wangu huniita Baba. Kwahiyo tunakuwa baba na mama.Kuna kitu ambacho sitakielewa hapa duniani basi ni hii tabia ya wanaume kuwaita wapenzi wao au wake zao mama!
Hivi mpenzi wako anaweza kuwa mama yako kweli? Mtu ambae unalala nae uchi na mnamaliza staili zote za mibinuko unamwita mama?
Au mimi mshamba? Hii ni heshima au ndio mapenzi? Na nyie wanawake ambao wapenzi wenu wanawaita mama uwa mnajisikiaje mkiitwa ivo? Hebu nielewesheni wakuu!!
Au ili usiombe hela 😅Wangu alikua ananiita mama nikamwambia ishia hapo hapo mi siezi kua mama ako!
Kwenye kuitikia hapo ungeniwekea kwenye mabano majibu yake😅Mamyyy samaleko
Hilo neno kuomba pesa mwanamke akilitamka huwa nachukia na mizizi kichwani inanitoka kbisaAu ili usiombe hela 😅
Ni vizuri sana mkuu mamyMimi napenda sana kuitwa mamy