Hivi unamuitaje mpenzi au mke wako mama?

Hivi unamuitaje mpenzi au mke wako mama?

Usichukulie mambo serious kiivo mkuu
Unamuita mama make ye ndio anajukumu la kukulea na kukushauri na wale wapenda kunyonya tits, kama anakunyonyesha mama linamfaa kabisa [emoji736]
 
Utakuwa unamaelekezo ya dini au vinginevyo masuala ya majina ktk mapenzi hayana fomula unaweza mwita chura, pimbi, mpenzi, switihati, mai wangu, mwezi, jua etc au kuna majina umekaririshwa na shekhe au mchungaji wako? Watu wakiwa katka sarakasi kitandani wanatukana matusi kama yote kwa raha wanazopeana je, nayo hayaruhusiwi mnataka wakati wa kunyanduana watu waimbe nyimbo za kuabudu au kaswida?
Ngoja Niulize Swali La Nyongeza.
Swala Hapa Sio Wakati Wa Kunyanduana Kuna Watu Hata Kwenye Simu Utamsikia Mtu Ana Sema Niambie Mama.Sasa Kwako Wewe Hii Inaingia Akilini?Au Ni Kijana Wa Afu Mbili Ambao Hawajari Chochote?
 
Mama kwa sababu anachukua nafasi ya mamangu kunilea, baba kwa sababu ninachukua nafasi ya babake kumlea.

Hayo mawazo mengine ni kwa mujibu wa ujinga wako tu. Sioni kama ukitamka mama au baba unamaanisha kulala nae uchi. Huonesha heshima kati ya baba wa watoto na mama wa watoto wetu.

Maneno haya hutumika wakati watu wamevaa nguo zao na hususani mbele ya watu. Huonesha uimara wa ndoa baina ya wana ndoa, ukamilifu wa upendo wa kweli kati yao na heshima kuu kati yao.

Baba Amina au mama Amina, huonesha kifungu cha ukamilifu na uwajibikaji kama wazazi, ishara ya heshimu ya kutumika katika uumbaji mpya kwa uwezo wa Mungu.

Tuelekeze mawazo huku siyo kwenye kuvuana nguo. Ndo maana wakwezo au wazazi wakikutembelea, utawalaza chumba na kitanda kimoja, huwezi kuwatenganisha. Hao ni baba na mama kama ambavyo sisi ni baba na mama.
Watu Kama Wewe Ukiondoka Nyumbani Tu Ukasema Umpigie Simu Mkeo Kama Yuko Na Mashoga Zake Huwa Anasema Msukuma Wangu Anapiga!
 
Asilimia Kubwa Kama Una Mume Basi Mume Wako Anavaa Khanga Asubuhi Huku Akiswaki.

Kifupi Mwanaume Anayemwita Mkewe Mama Kama Ni Ndugu Yako Usimtembelee Ukakaa Kwake Hata Siku Mbili Kama Hujadhalilika Mbele Yake Basi Atadhalilika Mbele Yako.
Aiseee
 
Ni tafsiri yako ya kishamba tu, kuita mama haihalalishi kuwa ndio mama yako, ni sawa na kumuita mtu komredi, kapteni, koplo, kamanda n.k
Kila Kitu Kina Mahara Pake Sasa Kuanzia Leo Anza Kumwita Mama Ako "Mke Wangu"Akikupigia Simu Tu Anza Na Hilo Neno Mwambie Sema Mke Wangu Uone Je Atakuchukulia Vipi?Watu Kama Nyinyi Ndo Mlianzisha Mwanaume Kumla Mwanaume Mwenzie Mkiamini Kwamba Haina Shida Tundu Si Lipo!
 
Kila Kitu Kina Mahara Pake Sasa Kuanzia Leo Anza Kumwita Mama Ako "Mke Wangu"Akikupigia Simu Tu Anza Na Hilo Neno Mwambie Sema Mke Wangu Uone Je Atakuchukulia Vipi?Watu Kama Nyinyi Ndo Mlianzisha Mwanaume Kumla Mwanaume Mwenzie Mkiamini Kwamba Haina Shida Tundu Si Lipo!
Waite mama zao mke wangu tuone kama kweli jina ni jina 😂😂😂 mkuu umeongea bonge la point 🙌
 
Back
Top Bottom