NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Wewe ndio una matatizo!Wangu alikua ananiita mama nikamwambia ishia hapo hapo mi siezi kua mama ako!
The rough is only mental!
Mama na baba ni majina ya kawaida kabisa kuitwa Tena ni cheo kikubwa mno kwenye mahusiano!hizo baby,honey zinaonyesha mahusiano bado hayajokmaa!yakikomaa majina yanabadilika Baba Fulani,mama fulani!au baba , Mama n.k!