Hivi unamuitaje mpenzi au mke wako mama?

Usichukulie mambo serious kiivo mkuu
Unamuita mama make ye ndio anajukumu la kukulea na kukushauri na wale wapenda kunyonya tits, kama anakunyonyesha mama linamfaa kabisa [emoji736]
 
Ngoja Niulize Swali La Nyongeza.
Swala Hapa Sio Wakati Wa Kunyanduana Kuna Watu Hata Kwenye Simu Utamsikia Mtu Ana Sema Niambie Mama.Sasa Kwako Wewe Hii Inaingia Akilini?Au Ni Kijana Wa Afu Mbili Ambao Hawajari Chochote?
 
Watu Kama Wewe Ukiondoka Nyumbani Tu Ukasema Umpigie Simu Mkeo Kama Yuko Na Mashoga Zake Huwa Anasema Msukuma Wangu Anapiga!
 
Asilimia Kubwa Kama Una Mume Basi Mume Wako Anavaa Khanga Asubuhi Huku Akiswaki.

Kifupi Mwanaume Anayemwita Mkewe Mama Kama Ni Ndugu Yako Usimtembelee Ukakaa Kwake Hata Siku Mbili Kama Hujadhalilika Mbele Yake Basi Atadhalilika Mbele Yako.
Aiseee
 
Ni tafsiri yako ya kishamba tu, kuita mama haihalalishi kuwa ndio mama yako, ni sawa na kumuita mtu komredi, kapteni, koplo, kamanda n.k
Kila Kitu Kina Mahara Pake Sasa Kuanzia Leo Anza Kumwita Mama Ako "Mke Wangu"Akikupigia Simu Tu Anza Na Hilo Neno Mwambie Sema Mke Wangu Uone Je Atakuchukulia Vipi?Watu Kama Nyinyi Ndo Mlianzisha Mwanaume Kumla Mwanaume Mwenzie Mkiamini Kwamba Haina Shida Tundu Si Lipo!
 
Waite mama zao mke wangu tuone kama kweli jina ni jina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu umeongea bonge la point πŸ™Œ
 
Napenda kuitwa mama naona ipo romantic, Mr wangu hajawah kuniitq hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…