Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Maana wanatengenezaga Mazingira Kabisa ya kutokuombwa pesa 😅😅😅utaitwa majina kama yoteMimi siombagi hela! Nikitaka hela naanza kutengeneza mazingira akipiga simu sipokei akituma meseji leo najibu kesho siku ya pili mwenyewe anatuma hela 😂😂
Kwahiyo babu anavyomuita mjukuu wa kike mke ni mkewe? Na mume kwa mjukuu wa kiume kwa upande wa bibi ni mumewe?Kila Kitu Kina Mahara Pake Sasa Kuanzia Leo Anza Kumwita Mama Ako "Mke Wangu"Akikupigia Simu Tu Anza Na Hilo Neno Mwambie Sema Mke Wangu Uone Je Atakuchukulia Vipi?Watu Kama Nyinyi Ndo Mlianzisha Mwanaume Kumla Mwanaume Mwenzie Mkiamini Kwamba Haina Shida Tundu Si Lipo!
Inapendeza sana mamyNikiitwa hivo moyo wangu kwatu
Hichi Ni Kichina Au Kikorea?Napenda kuitwa mama naona ipo Mr wangu hajawah kuniitq hivyo
Unazidi kuniongezezea Dozi 😅Inapendeza sana mamy
ngoja niache mamiiUnazidi kuniongezezea Dozi 😅
Kuna kitu ambacho sitakielewa hapa duniani basi ni hii tabia ya wanaume kuwaita wapenzi wao au wake zao mama!
Typing error nmemaanisha ipo romanticHichi Ni Kichina Au Kikorea?
Sisi tunaoitwa "Nyau" tuna comment kwenye uzi huu huu au tuna uzi wetu?
Umejibu vyema ila tatizo anayejibiwa bado mvulana, hawa ndio wale anakudai unamwambia njoo kesho nikupe hela yako, saa 1 kamili asubhi yuko mlangoni anataka chake.Mama kwa sababu anachukua nafasi ya mamangu kunilea, baba kwa sababu ninachukua nafasi ya babake kumlea.
Hayo mawazo mengine ni kwa mujibu wa ujinga wako tu. Sioni kama ukitamka mama au baba unamaanisha kulala nae uchi. Huonesha heshima kati ya baba wa watoto na mama wa watoto wetu.
Maneno haya hutumika wakati watu wamevaa nguo zao na hususani mbele ya watu. Huonesha uimara wa ndoa baina ya wana ndoa, ukamilifu wa upendo wa kweli kati yao na heshima kuu kati yao.
Baba Amina au mama Amina, huonesha kifungu cha ukamilifu na uwajibikaji kama wazazi, ishara ya heshimu ya kutumika katika uumbaji mpya kwa uwezo wa Mungu.
Tuelekeze mawazo huku siyo kwenye kuvuana nguo. Ndo maana wakwezo au wazazi wakikutembelea, utawalaza chumba na kitanda kimoja, huwezi kuwatenganisha. Hao ni baba na mama kama ambavyo sisi ni baba na mama.