Hivi unaoaje mwanamke mlevi?

upo serious mkuu huwezi kumgonga mwanamke alielewa..??

tukuwekee hapo mwanamke mlevi lkn yupo fresh na tukuwekee hapo mwanamke hajalewa lkn ana UTI sugu kali pro max international nginjanginja, utachagua yupi kati ya hao...??😂
 
Mkuu ulevi sio sifa nzuri kwa mwanamke vile vile ni hatari kwa usalama wake. Ulevi kwa mwanamke ninred flag ambayo hautakiwi kuipuuza.

Kuzingatia red flags haimaanishi kwamba unaogopa, isipokua unatumia hekima kuepuka matatizo badae. Lazima ujue kuna tofauti kati ya kuogopa na kupuuza

Mwanaume ukijiamini inatosha hauna haja ya kujiingiza kwenye toxic relationship kwa makusudi ili tu uthibitishie watu uanaume wako.
 
Unakuta janajike kutwa ni kushinda bar tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…