Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

Umeongea ukweli mkuu,ukiolewa na mtu anayetegemewa na familia nzima ni matatizo makubwa na hautaacha kulaumiwa hata kama ulikuwa unatenda wema kiasi gani
 
Kati ya hao ni nani anakupelekea moto vizuri?
 
Kwa hiyo unapigwa kotekote? Yaani unagawa mbususu kwenye kiyoyozi na kwenye pangaboya
 
Naamini mapenzi sio natural wote tunajifunza kupenda

Kwa case yako nenda kale kiyoyozi mama kumpenda utajifunza huko japo mambo yanaweza geuka ukanyanyasika na kwa pesa zake pengine mko wengi

Vilevile kwa bwana mishahara anaweza ziokota siku ukageukwa vilevile ukawa umevumilia upupu

Aagh bwana wewe chagua njia unayoiona ni salama ya bwana kiyoyozi kuhusu kumpenda utajifunza tu na kila kitu kitakuwa sawa

Usimsahau Mungu na usiruhusu hisia zikuamulie maisha yako
 
Huu ni ukweli mchungu kabisa
 
Olewa na tajir yaani na huyo anayejiweza, show time unakuwa unaenda kumpa kapuku hata ya masaa matatu ukiwa na mda na unakuwa unaenda kumpa na vijisenti akuhudumie- sema unatakiwa uwe na akili nyingi mmeo asijue kwani nae atakuwa anacheat kama kawaida sema utakuwa haujui tu tena wenye nazo ndio wanacheat sana kwani pesa ndio nyenzo kuu ya ucheataji

Na kila unapokaa karibu na tajiri na wewe unajitengenezea njia raini ya kuwa tajiri.. nenda kaishi maisha yako
 
Pesa ndo kla kitu ktk maisha ya dunia ya leo mapenzi au upendo ni hisia tu wataalam wanasema mapenzi au upendo ni chemical kwaiyo upendo unaweza kuulazimisha na ukampenda usie mpenda

Naiman ww ni mtu mzma je watu wote ulowai tembea nao kimapenzi ulkua unawapenda ?
 
🤣🤣Maandish na mdomo havihusian hata kidogo
Ningekuwa napiga makelele humu hapo sawa ungehusisha mdomo wangu
Ungelijua we nyau usinge nihukumu nina mdomo😅
Umeanza kutumia kauli za yule afande kumuita mwenzie paka.
• Mawazo Ni Sauti ya ndani kabisa kabla komeo halijafunguka.
 
Ushauri ulio tolewa na mtu mpumbavu.
 
Ni afadhali kulia ukiwa ndani ya Mercedes Benz kuliko ukiwa juu ya baiskeli.
 
Lakini si kafikia hatua ya kuolewa hapa anachagua tu... Usingle mama labda autake
Unatujua wanaume vizuri wewe🤣🤣kasema ni interest tu kuna jamaa yangu alienda mpaka kujitambulisha kwa msichana ilimradi awe anapata anytime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…