Dah tusipowatongoza mlalamika tukiwatongoza napo mnatuita vitombiHapo ni ukitombi tu my wangu
πππ tema mateYaani hako katoto ni kachokozi sanaπ
πππ sijakuita mieAbeeeππ
Kitombiπ πEither anakupenda kweli umemvutia kwa mara nyingine, au ni kitombi anatongoza tu kila mtu
Mwaka juziHahaa me umbea nimeanza lini
Mbona unaniharibia CV lakini
UsiwasikilizeTulikutana mtaani ikabidi tu tuwe mashost hivyo hivyo
inapendeza, ila wewe shikamoo ππ umejua kunifurahisha jion ya leoHata nisingemmention
Hawezagi kukaa bila kujua nimeandika manini huku
Kwahiyo kwenye harakati zake za umbea angejua tu
Cc Lenie
Marahabaaaainapendeza, ila wewe shikamoo ππ umejua kunifurahisha jion ya leo
π€£π€£π€£Alitoka na mimi kliniki
Kwenye ile kamusi yetu ππ€£π€£π€£
Hivi unatoaga wapi majibu
Naomba nije nikupige mistary wewe maana naona unazunguka zunguka tu huku ndaniππKuwaga mtulivu basi?π€£