Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika 😂😂Marahabaaaa
🤣🤣
Tuendelee kuEnjoy
Mi sijawahi tongoza mwanamke humu toka nimejiunga.
[emoji23][emoji23]Si ni bora hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ile umemkimbia mtu na ID yake A
Akakujia na ID B halafu unaenda kukutana nae unakuta ni same person
Jamani kuna watu hawakimbiliki [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]Kwa avatar yangu hyo wengi walikuja kwangu kuomba namba Kisha tuonane wanadhani mm Ni ke wkt huyo manzi alinibless tunda lake Kisha na mm nikamuwekea kweny dp yangu ,kumuenzi kwa SAS Yuko masomoni njee huko mtot wa kigogo mkubwa
[emoji23] sasa unajuaje ni mfupi na hamjuani
Ndo utongoze kila mtuDah tusipowatongoza mlalamika tukiwatongoza napo mnatuita vitombi
Usijisumbue hiniwezi weweNaomba nije nikupige mistary wewe maana naona unazunguka zunguka tu huku ndani😂😂
Heri ya mwaka mpya ShemEither anakupenda kweli umemvutia kwa mara nyingine, au ni kitombi anatongoza tu kila mtu
Tujifunzeni kuignore new iD.madhara ndo haya.Ilinitokea kwenye id ya Beesmom but uzuri wangu mi sicheleweshi au kuwa na tabia ya kila kinachotokea kumfungulia MTU thread,..nikamchana tu MI TO YEYE ULISHAWAHI NITONGOZA TAYARI.Rahisi kabisa and kimyakimya. Pia si kosa lake maana hajui that it's you
Mbona hio ID ya kike? au ni LG LED TV 55''Tujifunzeni kuignore new iD.madhara ndo haya.Ilinitokea kwenye id ya Beesmom but uzuri wangu mi sicheleweshi au kuwa na tabia ya kila kinachotokea kumfungulia MTU thread,..nikamchana tu MI TO YEYE ULISHAWAHI NITONGOZA TAYARI.Rahisi kabisa and kimyakimya. Pia si kosa lake maana hajui that it's you
Kwani Yupo Single
Halafu Hii ID ya [mention]Glenn [/mention] ni Kama ya mtu fudenge Yule wa Chelsea
Sijaelewa mkuuMbona hio ID ya kike? au ni LG LED TV 55''
Nafikiri mimi nawe wote tunazunguka.Naomba nije nikupige mistary wewe maana naona unazunguka zunguka tu huku ndani😂😂