Safi sana amzalishe sasa. Rijamaa rileee! Moaka basi utachukuaje mkewa ntuKawaida sana kwa manguli. Jamaa yangu aliachwa na demu wake ,aliumia sana hadi stress. Hakuweka uadui. Mpaka manzi akaolewa na jamaa alie mchkua. Mchizi wangu kwa ugumu na harusi akachangia. Baadae kidogo aliendelea kupewa tunda kimasihara hadi leo. Wamekua marafiki kama kawa. Namuonea huruma sana jamaa alietuchukulia mke wetu.
Tifautisha kupenda mtu na kurudiana naye, ukipenda serious once your hurt hurudi nyuma, hujakutana tu na hizo case ujue kiundanihivi unajua mapenzi au unasikiaga tuuu.
Yaani x anakuacha bila maandalizi usirudi kweli???
Tena kamoyo kata kuwa kwatuuu!! Unashukuru sana Mungu kuwa ananipenda x wangu amerudi??
Usiporudi nyuma kwa kitu kidooogo km hiki lazima psychologically unaumwa. Kwani ulimkuta bikra huyo? Kunantu alikuwa anapiga.Tifautisha kupenda mtu na kurudiana naye, ukipenda serious once your hurt hurudi nyuma, hujakutana tu na hizo case ujue kiundani
tetwtweeee!!! Ukirusha utarusha sana tu. hizi ni dalili za maumivu halafu jioni moja anapita na mshikaji wako karibu home kwako.Ex ni wa kumkaushia, ukipita hata karibu na kwao/kwake unarusha mawe juu ya bati na mchanga dirishani
Nawarushia mawe vile viletetwtweeee!!! Ukirusha utarusha sana tu. hizi ni dalili za maumivu halafu jioni moja anapita na mshikaji wako karibu home kwako.
Makaratee ya kibaunsa unayasikia tu weye!!! utachezea vitasa vitasa si vya Dunia hii.Nawarushia mawe vile vile
Nikipigwa naokota mawe mengine, nawarushia tenaMakaratee ya kibaunsa unayasikia tu weye!!! utachezea vitasa vitasa si vya Dunia hii.
Mpaka akili ikukae sawa.
Km somo halipandi ukazidisha utapandishwa daraja sasa
Yaani unakuwa mke wa pili wa hiari.
Make unaona mke mwenzio anafaidi .
Mzee mzima unatoa nyaaa duuu!!
Sasa utapigwa za chini kwa chini ili utulie na kwa hatua nzuri hivi lazima utatulia tu.
lkn best Noelia kumbuka kunataka zina thamani bustanini kwako??Awe kakuumiza ama hajakuumiza, mawasiliano ya karibu na ex wako Ni sawa na kucheza na taka ulizotupa mwenyewe kwa utashi wako
Duuuu!! mkuu hapo sasa simo.Nikipigwa naokota mawe mengine, nawarushia tena
Safi sana mkuu ana roho nzuri huyo ya kizungu nyeupeeee km kikwete!!!X wangu anavyo nisaidia kwa ss sina mpango wa kumchukia wala kumdisi, asante my X ningekudisi ss hivi ningekua naula wa chuya.
Sijipi hiyo shughuli Mimi, kama Ni gesi nitanunua nyingine, mboga nitanunua mbolea, kulishia mifugo nitaenda nikate nyasi maisha simple sana ya Nini kujichosha na mtu mmojalkn best Noelia kumbuka kunataka zina thamani bustanini kwako??
Iwe bustani ya mboga zina thamani pia.
Bustani ya maua au
Shamba au hata..
Kukuzalishia umeme ule wa taka au
Kukutengenezea gas ya kupikia inayotokana na taka..ukala ukashiba. Kwa bei rahisi.
Au pia taka hizo ukalishia mifugo km kuku bata nk ukawala bidae.au ukauza wkt wa shida je hazijakusaidia???
Kumbuka taka ni mali hasa ukizijulia.
Tambua taka zina thamani ya afya usizitupe mbali ili uishi vyema.
Umeandika Mambo mengi wewe jua tu binadamu tumetofautiana ku handle Mambo ilivo, na Kuna vitu inabidi ku let go kuliko kukumbatia transformer na future yako ilivo.Usiporudi nyuma kwa kitu kidooogo km hiki lazima psychologically unaumwa. Kwani ulimkuta bikra huyo? Kunantu alikuwa anapiga.
Hakika utakufa mapema bila kujua. Jifunze kusamehe.
Utabeba mangapi moyoni humo ??hata uongozi wa nyumba kumi huwezi achilia. Mbalii familia hutaweza. Usione me wenzako wako kwa barabara wana mengi wamepotezea tu.
Mpaka ameondoka unawaza tu makosa yake.kwani wewe hukumkosea?? Sasa kwa nini aende kwingine??
Labda domo lako lanuka.
Labda hujui kukatika.bin kibamia mtoto anataka mshedede!
Labda huna shape nzuri
Labda mchoyo
Labda mchawi
Labda unajamba hovyo wkt unakojoa!!
Labda alisikia weye chakula
Haya yoote yanaweza kufanywa na wapinzani wako pia au weye binafsi km kujambajamba hovyo.sasa km akija utajua meengi makasoroi!!
Pia ni km spy wako aliye kukusanyia taarifa
Km utampiga pin unajipiga pin ya taarifa za maadui zako weye mwenyewe.
Mpendwa kuvumiliana ni dhahabuSijipi hiyo shughuli Mimi, kama Ni gesi nitanunua nyingine, mboga nitanunua mbolea, kulishia mifugo nitaenda nikate nyasi maisha simple sana ya Nini kujichosha na mtu mmoja
Hatuwezi kufanana wote we km unaweza kuvumilia mtu wa hivuo Basi nikupongeze ila mi siweziMpendwa kuvumiliana ni dhahabu
Adimu sana.