Ni ngumu sana wala kuwa ka mwanzo tena nakupuuzia kabisa, kurudiana na ex it's like reading an old chapters expecting to get something new.Wanaweza rudiana upendo ukawa mwingi zaidi ya awali pia au ukapungua .. wengi wanao rudiana nao kutana nao mapenzi huwa bora zaidi ya yaliyopita huwa wanakuwa wame upgrade
No future bana na watu huwa hawabadiliki mwisho wa sikuhizi kuumizana, Bora tuheshimiane ka watu tulio share happy moments basi na sio kurudianaNamuunga Smaki mkono..kuachwa kwa suprise inafanya Ex kurudiana...ila wasiwasi wqngu sion kama wata future maana lazma mmoja wao ata revange
Ukiona kuna gumu sana, ujue kuna rahisi sana.. dunia mfumo wake ndio upo hivyo, ukiona kuna kizuri jua kuna kibaya... ukiona kuna ma ex wakirudiana yanae kombo, jua kuna ma ex wakirudiana wanakuwa bora zaidiNi ngumu sana wala kuwa ka mwanzo tena nakupuuzia kabisa, kurudiana na ex it's like reading an old chapters expecting to get something new,
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Mimi sirudishi matapishi yangu yawe mazuri wallah. Mimi ni mbele kwa mbeleukiona kuna gumu sana, ujue kuna rahisi sana.. dunia mfumo wake ndio upo hivyo, ukiona kuna kizuri jua kuna kibaya... ukiona kuna ma ex wakirudiana yanae kombo, jua kuna ma ex wakirudiana wanakuwa bora zaidi
Ndiyo uhalisia wenyewe, hakna kurudi nyuma, n mbele mbele, [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sirudishi matapishi yangu yawe mazuri wallah. Mimi ni mbele kwa mbele
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Hii umesema wewe binafsi, lakini sio kila mtu yupo kama wewe. Mioyo ipo tofauti na machaguzi tofauti na hata watu mnavyotazama maisha ni tofauti. Uamuzi wako ni mzuri na anae rudiana na ex wake pia ni uamuzi mzuri. Ni kuheshimu choise za mtu kwenye maisha yake 😀😀😀😀Mimi sirudishi matapishi yangu yawe mazuri wallah. Mimi ni mbele kwa mbele
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Kurudiana na ex ni ushamba tu na haina classy badala ya kutafta kilicho Bora unaridia ya kale lohNdyo uhalisia wenyewe, hakna kurudi nyuma, n mbele mbele, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kurudiana na ex ni kwanza wote wabovu mumekosa kitu kipya Bora zaidi lohHii umesema wewe binafsi, lakini sio kila mtu yupo kama wewe. Mioyo ipo tofauti na machaguzi tofauti na hata watu mnavyotazama maisha ni tofauti. Uamuzi wako ni mzuri na anae rudiana na ex wake pia ni uamuzi mzuri. Ni kuheshimu choise za mtu kwenye maisha yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivyo ndivyo unavyotazama wewe na ni mawazo yako, upo sahihi kwa namna yako ulivyo. Pia haupo sahihi kwa namna ya wengine. Mtu ulie ishi nae na kuheshiana nae , akakuuguza jua lake na mvua yake, joto lake na baridi likawa lake, mwili wake ukawa wako ... ikatokea lakutokea haijalishi baya gani, haifuti hayo mazuri na upendo uliokuwepo na Mungu anapofungua mlango wa kurudiana maisha yanaweza yakawa bora zaidi maana wote wanaweza wakawa wamejifunzaKurudiana na ex ni kwanza wote wabovu mumekosa kitu kipya Bora zaidi loh
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Sio kila EX ni EX wengine wanakuwa ex kwasababu kuna mazingira yanakuwa wawe ma Ex ili wajifunze waje wajenge kilicho bora zaidi. Wapo ma Ex walio rudi wamekuwa bora zaidi kuliko mnao kimbilia vipyaKurudiana na ex ni kwanza wote wabovu mumekosa kitu kipya Bora zaidi loh
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Kabisa yaanKurudiana na ex ni ushamba tu na haina classy badala ya kutafta kilicho Bora unaridia ya kale loh
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Ukiona mtu amerudiana na x wake ujue hao watu hawakupendana kabisa kabisa Kati yao na hao Wana interest za ki bussiness tu, kwenye real love hurudi nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekupenda bure / nikufuate inbo?? haaaahaaaahaa
Hizo happy moments ndo zitawarudsha..tena kama ndo umeenda kuzikosa huko ulikoendaNo future bana na watu huwa hawabadiliki mwisho wa sikuhizi kuumizana, Bora tuheshimiane ka watu tulio share happy moments basi na sio kurudiana
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Mimi sirudi hata ka tulishare happy moments ngapi, huwa niliondoka sigeuki nyuma Bora kutafta changamoto mpyaHizo happy moments ndo zitawarudsha..tena kama ndo umeenda kuzikosa huko ulikoenda
Hujawah kusisimuliwa hadi kila unapoenda ukaona utopolo...au yawezkana ushakuwa sugu kweny break upMimi sirudi hata ka tulishare happy moments ngapi, huwa niliondoka sigeuki nyuma Bora kutafta changamoto mpya
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Shawahi ila msimamo wangu ule ule tu sirudi nyuma mkuu hata ka nilikupenda vipi nasonga mbele tu, Kwa kweli,Hujawah kusisimuliwa hadi kila unapoenda ukaona utopolo...au yawezkana ushakuwa sugu kweny break up