Hivi ushindi wa Azam jana hauathiri harakati za Simba kugombea nafasi ya pili?

Hivi ushindi wa Azam jana hauathiri harakati za Simba kugombea nafasi ya pili?

Mke mdogo na mke mkubwa wanapeana support sio mbaya
 
Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
Hujui hata kutoa na kujumlisha.

Shuleni mlienda kusoma ujinga.
 
Ukishabikia sana simba na yanga.

Akili za kichwani zina yeyuka kabisa.

Poleni sana vijana wa kitanzania.
 
Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
ntacheka sana mke mkubwa akimaliza nafasi ya tatu,ili siku nyingine aache kumshabikia mke mdogo anapocheza na mumewe...
 
Huu ndo msimamo wa Ligi ya NBC..
Simba ana Pts 45 wakati kacheza mechi 19 ...
bado ana vipolo viwili
Wakati huo azam ana Pts 47 na kacheza mechi 21..
Yanga ana pts 52 kacheza michezo 20..
Kama unatumia akili ungegundua kuwa mchezo wa Jana kama Simba angeshinda angekuwa na Pts 55..
Ambalo lingekuwa gap la Point 10 kwa simba..
Lakini sasa Gap linazidi kuwa Dogo sana..
Screenshot_20240318_162639_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom