Hivi ushindi wa Azam jana hauathiri harakati za Simba kugombea nafasi ya pili?

Hata hesabu za kujumlisha na kutoa tu nazo hujui mwanautopolo?

Kwahiyo ulitaka Yanga amfunge Azam ili gape la point 10 liongezeke Kati ya simba na Yanga ndipo tufurahi?
Pambaneni na hali yenu sisi hayo hayatuhusu , kila mtu ashinde mechi zake
 
Mtibwa ikishuka daraja litakuwa ni jambo la kusikitisha. Ile timu iko vizuri sana ila inakosa tu mdhamini mwenye uchu wa mafanikio au mikakati ya kuifanya ifanye vizuri kwa kuwa na wachezaji kadhaa wenye uzoefu wakichanganyika na madogo walionao. Timu za kushuka ni kama Dodoma Jiji, Geita ambazo zipo zipo tu.
 
Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
huna akili hata kidogo?? makitu yenye mwiko kwa nyuma yana maujinga mengi sana, simba ana mechi mbili mkononi akishinda zote anamwaacha azamu point 5 sasaa wewe bwege hujui hata hesabu ndogo za kutoa na kujumlisha?? hivi ndivyo sisi simba tulitaka utopolo akandwe huyo azamu tutamalizana naye baadaye hawezi kwenda popote
 
Azam angpigwa mngekuwa tayari kwenye nafasi yenu ya pili. Lakini hatuwezi jua, labda mnategemea ubingwa 🤣
 
Azam angepigwa na nyie kushinda viporo vyenu mngemuacha point 7 na kujihakikishia nafasi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…