Hizo ni assupmtions zako...za kulazimisha kisichopo....mimi naongelea waliodanganya sasa wewe unaleta sogaSwali je ikiwa hao watu ni kweli wa kutoka Ngara,Kigoma na Bukoba,hutakuwa umewabagua? Je watu kutoka hiyo mikoa hawana haki kama watanzania wengine kwasababu wanatoka mikoa karibu na DRC,Burundi na Rwanda? Unabidi uwe unafikiria upande wa pili kabla hujaanza kuandika tu.
Hizo ni assupmtions zako...za kulazimisha kisichopo....mimi naongelea waliodanganya sasa wewe unaleta soga
We mwehu sana..kuna haja ya kukubaliana kwani tupo ktk kuburgain bei ya bangi....ni fact wachaga si watu wa asili moja full stop.Wamasama ni wachaga na wameru, kuna wamasai, kuna wapare, kuna wakamba, na makabila mengine ayalipotea..kuna hadi pigmies...kuna wachaga wakongo.... wachaga ni conqerers..ndio maana hadi leo wanapoingia mahali ni km wanapigana vita bila silaha..vita yao ni ya mafanikio binafsiusianze matusi, hii ni forum jomba, si kila wazo lako kila mtu alisupport, my be ungetoa option, ya majibu unayo taka wewe, its seem your dont know to deal with the mind of people, toa hoja watu wakusikilize. Topic kama hizi ni mhimu kwa ulinzi wa nchi yetu ila ukianza matusi thread inaboa
Ndio maana kinana anaua tembo na kuwapa uraia majambazi na magaidi wa kisomaliKinana naye sijui ni Mtanzania, David Mataka, naye ni mtanzania wa wapi? Wapo wengi mno ambao hata kwenye system na jeshini wapo ila basi sisi hatuko makini ila ninaamini siku moja itatugharimu.
shida mnaingilia sana mada bila kujua mnachoingilia..hivi huoni kuwa hilo ni swali?sasa ni wewe useme km hakuna..au au hata watu wa hizo nchi wana uzalendo kiasi gani na si wanasikia amri ya kigali...?Kuna sehemu yoyote umeweka facts? sijaona jina, wala taarifa yoyote ya watu waliodanganya zaidi ya habari za kudhania. Wewe ndio unaleta blah blah...
shida mnaingilia sana mada bila kujua mnachoingilia..hivi huoni kuwa hilo ni swali?sasa ni wewe useme km hakuna..au au hata watu wa hizo nchi wana uzalendo kiasi gani na si wanasikia amri ya kigali...?
Ndio maana kinana anaua tembo na kuwapa uraia majambazi na magaidi wa kisomali
Wewe ni mwehu sana.......UZALENDO wa mtu kuhojia ni ubaguzi?Mbona unajionyesha ulivyo kima.
poor you.bado unajianika....huku hujavaa chupi.Hivi Uzalendo unapimwa kwa IQ ?
-sasa mbona unalilia kuwa mimi nina IQ ndogo...sijui umenipima lini..na kwa vipimo gani.. -sasa km umesoma vitabu vya Makamba sr.kwanini usiwe mjinga....hata km IQ yako unaamini ni kubwa.Kuwa smart hakumaanishi utapenda nchi..ila unaweza fanya samrt choice..na mara nyingine desire zinaweza kufanya uchague kitu kwa tamaa binafsi halafu bado uwe na maelezo ya ushawishi kwanini umechagua khicho kituSema yote..Poor you, sijui chupi still IQ yako ndogo bwana Nicholas. Na for the record hamna sehemu niliyosema uzalendo unapimwa na IQ but why should I bother to explain myself wakati ndiyo mwisho wa upeo wako.
aha kumbe wana good opinioni kwa matusi wanayoniporomoshea..sina muda wa kujibizana na takataka..km wewe ni sumpathizer wao..mbona usianzishe camp thready...u had come with a good topic, and people tried to provide their good opinion, lakini unabore kwa matusi yako, angalia kila anayechangia unamtolea matusi,anzia mwanzo wa thread mpaka mwisho utajidharau bure, unatukana tu, ok toa soln tutafanyeje kuwaondoa akina kinana hapo nec.