Yani wewe ndumba ishakukolea kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acheni Upumbavu ninyi, Zahera anafanya kazi Yanga katika Mazingira Magumu
Kule kuiwezesha timu kushika nafasi ya pili na Almanusura ya Kutwaa Ubingwa
Mnafikiri ni Kazi ya Kitoto? Bila shaka haya majungu yameanza mapema kuna
kinachoogopwa, BADO NINA IMANI SANA NA ZAHERA..... TUACHIENI KOCHA
WETU.
Mkuu umewahi kumskia mtu akilalamika ame'exhaust muda mref kufanyia kazi suali tofauti na linavyotaka halaf akaja kung'amua baadae? Nafananisha na unachokipitia. Mi sicomment kukhusu ubora wa Lwandamina na incompetencies za Zahera, hasha! Nashangaa ulichocomment kwenye post inayoelezea mantiki tofauti na ulichoandika. Kaeleza kwamba appreciation kwa Mwinyi ni kwa 7bu ameilea team iliyosuswa na mtaalam Lwandamina na si kwa 7bu ya ubora wa Mwinyi.Hebu weka CV ya Zahera tulinganishe na CV ya Lwandamina. Lwandamina ameshakuwa coach mkuu wa Timu ya Zambia.Amekuwa best coach Zambia 2014 na 2015.Mwaka 2018/19 amechukua ubingwa akiwa na Zesco.
Zahera amechukua ubingwa na timu ipi akiwa kocha?Tiririka mkuu wacha kufuata mkumbo.Hoja dhaifu hujibiwa na hoja thabiti.Kushika nafasi ya pili tena kwa kuzidiwa pointi 7 baada ya kuongoza kwa pointi 21 mkononi sio credit.
Nmeshamjib mkuuakikujibu nistue .
😆😆😆😆subirini mtamjua zahera ni nani
😁😁😁😁😁Yani wewe ndumba ishakukolea kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acheni Upumbavu ninyi, Zahera anafanya kazi Yanga katika Mazingira Magumu
Kule kuiwezesha timu kushika nafasi ya pili na Almanusura ya Kutwaa Ubingwa
Mnafikiri ni Kazi ya Kitoto? Bila shaka haya majungu yameanza mapema kuna
kinachoogopwa, BADO NINA IMANI SANA NA ZAHERA..... TUACHIENI KOCHA
WETU.
Acheni Upumbavu ninyi, Zahera anafanya kazi Yanga katika Mazingira Magumu
Kule kuiwezesha timu kushika nafasi ya pili na Almanusura ya Kutwaa Ubingwa
Mnafikiri ni Kazi ya Kitoto? Bila shaka haya majungu yameanza mapema kuna
kinachoogopwa, BADO NINA IMANI SANA NA ZAHERA..... TUACHIENI KOCHA
WETU.
😆😆😆😆Upumbavu hauwezi kuachwa, ukiachwa hili neno halitatumiki na kwenye Lugha itabidi liondolewe, maana litakua halipo.
Kamuulize Mbowe
Wewe kumbe ni mbumbu fc , Mwinyi amefundisha (France) kama kocha mkuu katika timu ya Feignes 2000-2010/(2013)(,FC Tubize (Belgium) 2010-2011, DC mtema Pembe 2014-2016. Mbumbu tulieni mwinyi Zahera CV zake ziko wazi.Acheni mchecheto.Anapo waeleza kuhusu soka habahatishi , Tatizo ninaloliona Upeo wa Zahera katika soka ni mkubwa kuliko uwelewa wa wanao mkejeli.Ndio tatizo la kufuata mkumbo. Let us assume ana UEFA leseni daraja A.Leseni hiyo anaweza kufundisha timu mpaka umri wa miaka 18 tu kwenye Nchi wanachama wa UEFA.
Inatakiwa uwe na UEFA Pro licence ndio unaweza kufundisha timu yeyote.
Umesema amefundisha Belgium na France naomba nitajie hata timu mbili za wakubwa alizofundisha akiwa Head Coach.
Timu ya Yanga imewahi kuwa na na Makocha wengi sana wazuri kabisa na walioipa mafanikio makubwa sana timu hii , ikiwemo kubeba vikombe kadhaa lakini hawajawahi kusifiwa kama anavyosifiwa huyu kocha mbovu asiye na mafanikio yoyote aitwaye Mwinyi Zahera , hajawahi hata kubeba kikombe cha kunywea kahawa .
Amewapa nini wanayanga huyu mcongo ? au ni kweli kwamba Wacongo wanatumia ndumba kupumbaza wengine ? Huyu kiuwezo yuko nyuma mno kumlinganisha na Kataraiya Minziro lakini sifa anazopewa hata Man U hawakuwahi kumpa Alex Ferguson .
Majibu kama haya ndio niliyoyataka , lakini siyo porojo za wanayanga wenzioUkocha wa timu una mambo mengi mno...unaweza kuwa ni mzuri wa tactics, technicalities lakini ukawa mbaya wa team management..makocha wengine ni wazuri wa pschology ya wachezaji....na wengine wazuri katika kuhamasisha na kuwapa morali tu...wengine wazuri katika kuunda muunganiko mzuri wa wachezaji hata kama viwango vya wachezaji ni vya kawaida tu...wengine ni wazuri wa physical exercises na kujenga stamina...wengine ni wazuri kujenga authority na discipline..mchezaji akimuona kocha anakuwa na hofu naye akifanya vibaya...Kimingi this is to do about or with the qualities of leadership in football...Zahera lazima ana kitu kimoja au hata viwili kati ya hivi au vitatu...kimoja ambacho mimi nadhani au naona kuwa Zahera anacho ni uhamasishaji na kujenga morali ya wachezaji...Hiki alikuwa anacho pia yule kocha wa Taifa Stars Mbrazil, Maximo...Halafu nadhani Zahera pia ni disciplinarian yaani mtu anayepambania nidhamu ya wachezaji kama alivyokuwa Tambwe Leya...Kwa maoni yangu kama siyo Zahera msimu uliopita Yanga ingeweza kushika hata nafasi ya 10 ...Kwa namna Yanga ilivyokuwa na hali mbaya kifedha Zahera alikuwa ni chaguo sahihi kwa Yanga na kuwafanya wachezaji kuhamasika au hata kulazimishwa kucheza bila fedha wakati mwingine...Naamini Wanayanga wengi wanampenda Zahera...wanaomchukia Zahera kwa maoni yangu wengi wao ni wanasiba kwani hawakutarajia Yanga ifanye viizuri kama ilivyofanya msimu uliopita pamoja na matatizo makubwa iliyokuwa ya kifedha...Naamini pia kuwa kama siyo kufanyika kwa hujuma kubwa dhidi ya Yanga msimu uliopita Yanga ingeweza kutwaa ubingwa pamoja na matatizo yake ya fedha.......
Wewe kumbe ni mbumbu fc , Mwinyi amefundisha (France) kama kocha mkuu katika timu ya Feignes 2000-2010/(2013)(,FC Tubize (Belgium) 2010-2011, DC mtema Pembe 2014-2016. Mbumbu tulieni mwinyi Zahera CV zake ziko wazi.Acheni mchecheto.Anapo waeleza kuhusu soka habahatishi , Tatizo ninaloliona Upeo wa Zahera katika soka ni mkubwa kuliko uwelewa wa wanao mkejeli.
Tafuta CV yake Zahera alafu nyie mnao mpinga mjitathimin.
Feignes ni timu ya division 5 huko France. Tubize ya Belgium ni amateur football club.Kuna zaidi ya hapo kwa hizo timu unazodai.Wewe kumbe ni mbumbu fc , Mwinyi amefundisha (France) kama kocha mkuu katika timu ya Feignes 2000-2010/(2013)(,FC Tubize (Belgium) 2010-2011, DC mtema Pembe 2014-2016. Mbumbu tulieni mwinyi Zahera CV zake ziko wazi.Acheni mchecheto.Anapo waeleza kuhusu soka habahatishi , Tatizo ninaloliona Upeo wa Zahera katika soka ni mkubwa kuliko uwelewa wa wanao mkejeli.
Tafuta CV yake Zahera alafu nyie mnao mpinga mjitathimin.
Ohoooo !!!!Feignes ni timu ya division 5 huko France. Tubize ya Belgium ni amateur football club.Kuna zaidi ya hapo kwa hizo timu unazodai.
Hana hata credetional ya kuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Congo .
Hoja ilikua unadanganya watu Zahera hajawai kuwa kocha mkuu, sasa umekuja na Division za league, na Amateur ivi una uelewa sawasawa wa mpira kweli? Au ni chuki isiyo na sababu? vip kuhusu DC Motema Pembe? Je! Afrika kuna ligi ngap za soka ambazo ni profecional, kuna Makocha wangapi wenye Lesen daraja A ya Uefa? Aliye waita mbumbu mbu hajakosea.Feignes ni timu ya division 5 huko France. Tubize ya Belgium ni amateur football club.Kuna zaidi ya hapo kwa hizo timu unazodai.
Hana hata credetional ya kuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Congo .