Hivi uzuri wa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ni upi ?

Mm mwenyewe mpenzi wa Timu ya wananchi ila nilitaka na mtani aingie hatua inayofuata (wela ushabiki pembeni kwanza Ndiga)
Tatizo mliaminishwa kuwa Rollers wangetutoa kwa vile nyie mlitoka nao sare , mpira hauko hivyo.
 
Ameivusha kwenye hatua ya pili timu iliyosajili kwa kupitisha bakuli na kuweka kambi yake Kisamvu huku ikicheza mechi za majaribio na timu za watoto wa madrasa. Lakini hatua hiyo ndiyo aliyoishia kocha wa timu iliyosjili kwa mabilioni ikaweka kambi Afrika ya Kusini na kucheza mechi za majaribio na mabingwa wa nchi mbalimbali za Afrika ikiwamo bingwa Mstaafu. Unahisi yepi anastahiki kupendwa zaidi na wapenzi wa timu yake?
 
Ashapapaswa huko
 
Zahera kinachompa ujiko Yanga ni kuwa mfadhili wao wakati wakiwa kwenye hali ngumu ya uchumi msimu ulipoita. Kocha gani anaweza kutoka kwao, tena nje ya nchi, atakubali kufanya kazi bila halipo?

Vv
 
Yaani unataka kutuaminisha kuwa Yanga kushika nafsi ya pili ni 'news? Tangu lini Yanga akawa anagombania nafasi za timu kama Mtibwa, Coastal, na KMC? Yanga saizi yake ni Simba, na Azam, katka kupigania ubingwa, hizo nafasi hizo nafasi za pili kushuka chini ni kwa timu nyinginezo, sio Yanga.

Vv
 
Ni kocha lakini pia ni Msemaji wa Club, zaidi ya hapo ni muasisi wa kuvaa vipensi kwenye club.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…