Discovery 4 sijui utakosa mrembo gani,hapo hata uwe na kidevu kama Yai🤣🤣Mie sio , ila tuachane na hayo sema mnatutesa sana mara ndevu mara hela mara gari na gari hamtaki vits mnataka range hahahha ngoja ninunue discover 4 nione kama nitatoboa
🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja nifanye mpango sasa nimechoka mieDiscovery 4 sijui utakosa mrembo gani,hapo hata uwe na kidevu kama Yao🤣🤣
Nimecheka hadi kumwaga chai , kwamba hapo ndugu zake shetani watajitokeza wengi sana bila kutarajia hahahahHapo utasikia uongo wa kina Delilah Sasa,bby simpendi kabisa mwanaume mwenye ndevu,zinakuwa utafikiri duduwasha🤣🤣
Izi pisi ndo zenyewe sasa, alafu wanaume wasio na ndevu huwa wengi ni vibamiaMuwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..
Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi...
Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣
View attachment 2748516
Nawajua vizuri, kuna siku kaka mwenye kukaa na kibuyu cha asali au mzalendo fake (tai) kanipa lift kwenye lile dude lake LC 300 nusu niondoke na kitivo kizima pale pembeni ya chimwaga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ha haaa kwani umewasahau?
Umeona maneno hayo,kitivo kikajua ni lako,🤣🤣🤣🤣hatupendagi ujingaNawajua vizuri, kuna siku kaka mwenye kukaa na kibuyu cha asali au mzalendo fake (tai) kanipa lift kwenye lile dude lake LC 300 nusu niondoke na kitivo kizima pale pembeni ya chimwaga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kitivo kikajua ni langu kumbe lift tu daaahUmeona maneno hayo,kitivo kikajua ni lako,🤣🤣🤣🤣hatupendagi ujinga
Hamjawahi kueleweka mnataka nini nyie watu cha kufanya nifanye tu mpango nichukue pisi niweke ndani niepukane na haya majaribu nianze kulea familia yangu🤣🤣🤣😅😅Balaa na nusu🤣🤣
Kabisaaa nipate ubavu wangu nitengeneze familiaNaam,nae apatae mke apata kitu chema.
muombeen msamaha mwambien anitafte baada kubannuliwa kutoka kwenye bann... Nimpe pole dah...Wamempa ban shogaetu jamaniii watu wabayaaa
bana jitahid leo uwepo...
Nitafanya hivyomuombeen msamaha mwambien anitafte baada kubannuliwa kutoka kwenye bann... Nimpe pole dah...
Wamemuonea hakustahili banWatakuwa wamemuonea wivu penzi lake na Countrywide
kwani kinashida gani bibieAsiwe na kitambi😅