Hivi videvu vya siku hizi

Hivi videvu vya siku hizi

Mie sio , ila tuachane na hayo sema mnatutesa sana mara ndevu mara hela mara gari na gari hamtaki vits mnataka range hahahha ngoja ninunue discover 4 nione kama nitatoboa
Discovery 4 sijui utakosa mrembo gani,hapo hata uwe na kidevu kama Yai🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja nifanye mpango sasa nimechoka mie
Hapo utasikia uongo wa kina Delilah Sasa,bby simpendi kabisa mwanaume mwenye ndevu,zinakuwa utafikiri duduwasha🤣🤣
 
Hapo utasikia uongo wa kina Delilah Sasa,bby simpendi kabisa mwanaume mwenye ndevu,zinakuwa utafikiri duduwasha🤣🤣
Nimecheka hadi kumwaga chai , kwamba hapo ndugu zake shetani watajitokeza wengi sana bila kutarajia hahahah
 
Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..

Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi...

Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣

View attachment 2748516
Izi pisi ndo zenyewe sasa, alafu wanaume wasio na ndevu huwa wengi ni vibamia
 
Ha haaa kwani umewasahau?
Nawajua vizuri, kuna siku kaka mwenye kukaa na kibuyu cha asali au mzalendo fake (tai) kanipa lift kwenye lile dude lake LC 300 nusu niondoke na kitivo kizima pale pembeni ya chimwaga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nawajua vizuri, kuna siku kaka mwenye kukaa na kibuyu cha asali au mzalendo fake (tai) kanipa lift kwenye lile dude lake LC 300 nusu niondoke na kitivo kizima pale pembeni ya chimwaga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeona maneno hayo,kitivo kikajua ni lako,🤣🤣🤣🤣hatupendagi ujinga
 
Balaa na nusu🤣🤣
Hamjawahi kueleweka mnataka nini nyie watu cha kufanya nifanye tu mpango nichukue pisi niweke ndani niepukane na haya majaribu nianze kulea familia yangu🤣🤣🤣😅😅
 
Hamjawahi kueleweka mnataka nini nyie watu cha kufanya nifanye tu mpango nichukue pisi niweke ndani niepukane na haya majaribu nianze kulea familia yangu🤣🤣🤣😅😅
Naam,nae apatae mke apata kitu chema.
 
Sio mfuge ndevu halafu msitafute hela.....suala la kutafuta hela lipo pale pale....jitahidi muwe navyo vyote kwa pamoja 😅
Hilo wanalielewa Sasa waendelee kujitoa akili wasema tulisema wafuge ndevu waache kutafuta Hela,🤣🤣
 
Back
Top Bottom