Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm napenda kua na mwili wa wastani weight 85kgKinaanzaga hivyohivyo,, kidogodogo mwisho hiloooi🥲
[emoji23][emoji23][emoji23] Napenda ndevu bwana lakini ziwe kiasi alafu safi. Sasa huyo jamaa zipo kama furushi la mtama hapana kwa kweli[emoji1787][emoji1787]Jamani ujanja wote Huo Kelsea unataka kidevu soft kama apple?
Kwani hao wanawake unaowakopeaha Hela wamesema wanakupenda?Nina miaka 30 na sina ndevu.
Cha kushangaza napigiwa sana simu na wanawake wa kila rika niwakopeshe hela..
Bila hela maisha yangu yasingekuwa na msururu wa wanawakeView attachment 2748977
[emoji1787][emoji1787] ila watu jamani.je nikiweka za bandia af kila tukiachana nazinyofoa... Akitak kuja kuonana na ww anabandika... Apo veep?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwani hao wanawake unaowakopeaha Hela wamesema wanakupenda?
Niingie deep zaidi unielewe?Kwani hao wanawake unaowakopeaha Hela wamesema wanakupenda?
🤣 We hupendi?🤣🤣Hamna bhana,ni vile watu mwapenda kongoli na bia
Ipo kaziii🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani Leo msio na ndevu mmetolewa mifano mingi sana.. apple, tikiti,embe dodo na Sasa Humpty Dumpty the broken...
Ipo kaziii🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani Leo msio na ndevu mmetolewa mifano mingi sana.. apple, tikiti,embe dodo na Sasa Humpty Dumpty the broken...
Noma mzeeHaahaaaahaaa dah picha limekaa mahala pake😆😆😆
Kazi iendelee 😀😀😀Mi ndio master mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
sawa... hata me naona...Dislike hupigwi ban bwana acha Uoga..
bana dislike sio nzurDislike hupigwi ban bwana acha Uoga..
...tunajitetea... Mwanzon mlisema tunyoe viduku... Saiv tena ndevu[emoji1787][emoji1787] ila watu jamani.