Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aha! Kumbe... Hivi kuna uwezekano wa kuona aliekureport... Au basi... bana tusireportiane...Hamna,ukireportiwa ndio msala
Wewe umetoa ndevu zote?...tunajitetea... Mwanzon mlisema tunyoe viduku... Saiv tena ndevu
There is a money?Iweke vizuri sentence, where there's a money, there's a devil called infatuation not Love .
kelsea ndo wewe kwenye avatar mrembo hivyo?😅[emoji1787][emoji1787] ila watu jamani.
eeh zote kbs yan... bana hazina faida... Kuna ile mnasemaga... "muone na mindevu yake kama stiriwaya"Wewe umetoa ndevu zote?
kelsea ndo wewe kwenye avatar mrembo hivyo?
Jamani...usitoe zote bwana hizo zina kazi yake maalum [emoji125][emoji125][emoji125]eeh zote kbs yan... bana hazina faida... Kuna ile mnasemaga... "muone na mindevu yake kama stiriwaya"
Akuuu [emoji1787]kelsea ndo wewe kwenye avatar mrembo hivyo?[emoji28]
ni wewe bana,Akuuu [emoji1787]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]ni wewe bana,
kazi gan maalum?... Au ndio ndevu huvuta sumu ya nge mwilini...?Jamani...usitoe zote bwana hizo zina kazi yake maalum [emoji125][emoji125][emoji125]
yeah yeah yeah au C.O
Dada, mm nna 29 age lkn kidevu kama cha mtoto hakina kitu kabisaAnza na muonekano wa nje basi,,kwani vimegoma kuota😁😁?
Masikitiko kwa kweli, watu wananiona Mm mtotoHiyo inakuwaje aisee?
Sasa mm sina ndevu kabisa, au bosta inafanya kazi bila kuwepo chanzo.?Daah nasikia Kuna booster za kuotesha ndevu.