Hivi videvu vya siku hizi

Hivi videvu vya siku hizi

Ndevu ndio urithi pekee mzee wangu kaniachia,mzee ana ndevu kama osama,.kwa wanawake wengine ndevu uchafu
Kwahiyo watu wasiendelee kubisha kwamba binadamu wa kwanza alikuwa nyani waje tu kwenu kupata ushahidi usiotia shaka?
 
wangu nmeutia rangi nyeupe
Binzari mbili kwenye shingo
Wananiita papaa fololo muda wote nikipokea simu nasema UMEINGIZANA WAPI KASUMBALESA AU KIVU
basi nawaokotaaa
 
Ndevu kichombwezo bana
 

Attachments

  • Screenshot_20230915-074657-1.jpg
    Screenshot_20230915-074657-1.jpg
    5 KB · Views: 1
We njagu bhana ndio mnakatazwa kufunga ndevu
Mie sio , ila tuachane na hayo sema mnatutesa sana mara ndevu mara hela mara gari na gari hamtaki vits mnataka range hahahha ngoja ninunue discover 4 nione kama nitatoboa
 
Back
Top Bottom