Hivi videvu vya siku hizi

Hivi videvu vya siku hizi

Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..

Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi...

Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣

View attachment 2748516
Wanawake hamueleweki.

Mara usipokuwa na chaka kidevuni unaambowa kidevu kama cha mwanamke, haya sasa tusoponyoa tunaambiwa tunafanana na laboos wa kujilipua....

Kha
 
Shemeji wewe upande wa kidevu hakuna mgogoro,hapa Kikubwa ongeza kutafuta chapaa[emoji16][emoji16][emoji16]ukiongeza na mdogo wangu mwambie nimemmiss sana
Bidii naifanya vizuri kwenye chapaa, salamu zinafika kama zilivyo. Japo amekua busy sana sasa hivi hatulii kila siku safari
 
Back
Top Bottom